Naibu Katibu Mkuu CUF, ambaye ni mgombea Ubunge wa Ukawa Jimbo la Kaliua kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Magdalena Sakaya akihutubia wananchi mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Mwananchi Square Urambo, Tabora. (Picha zote na Francis Dande)
Naibu Katibu Mkuu CUF, ambaye ni mgombea Ubunge wa Ukawa Jimbo la Kaliua kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Magdalena Sakaya akihutubia wananchi mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Mwananchi Square Urambo, Tabora.

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni (kushoto) akimkabidhi kadi ya Chadema aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Kata ya Ugala Urambo, Tabora, Hamidu Mussa baada ya kukiahama chama hicho na kujiunga na Chadema wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika uwanja wa Mwananchi Square.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni (kushoto) akimkabidhi kadi ya Chadema aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM Kata ya Ugala Urambo, Tabora, Hamidu Mussa baada ya kukiahama chama hicho na kujiunga na Chadema wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Uwanja wa Mwananchi Square.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akihutumia mamia ya wakazi wa jimbo la Urambo Mashariki mkoani Tabora wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Mwananchi Square.

No comments:
Post a Comment