Kamishna
Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Rished Bade akiongea na wadau
kutoka Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI) wakati wa semina ya kuwajengea
uelewa kuhusu Sheria Mpya ya Kodi ya Ongezeko la Thamani ya mwaka 2014
iliyoanza kutumika kuanzia Julai 1, 2015, Leo Jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Shirikisho la Viwanda Tanzania
(CTI) Dkt. Samuel Nyantahe akimshukuru Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato
Tanzania (TRA) Bw. Rished Bade kwa uamuzi wa kuwakutanisha wadau wa sekta ya
viwanda na kuwaelimisha kuhusu Sheria Mpya ya Kodi ya Ongezeko la Thamani ya
mwaka 2014 ili kuweza kuondoa utata kwenye baadhi ya maeneo yaliyo katika
sheria hiyo, Leo Jijini Dar es Salaam.
Wadau kutoka Shirikisho la Viwanda Tanzania
(CTI) na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakimsikiliza Kamishna Mkuu wa
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Rished Bade wakati wa semina ya kuwajengea
uelewa kuhusu Sheria Mpya ya Kodi ya Ongezeko la Thamani ya mwaka 2014
iliyoanza kutumika kuanzia Julai 1, 2015, Leo Jijini Dar es Salaam.
Wadau kutoka Shirikisho la Viwanda Tanzania
(CTI) na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakimsikiliza Kamishna Mkuu wa
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Rished Bade wakati wa semina ya kuwajengea
uelewa kuhusu Sheria Mpya ya Kodi ya Ongezeko la Thamani ya mwaka 2014
iliyoanza kutumika kuanzia Julai 1, 2015, Leo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda
Tanzania (CTI) Leodger Tenga akimpongeza Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato
Tanzania (TRA) Bw. Rished Bade baada ya kumaliza kuwahutubia wajumbe kutoka
Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI), leo Jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mwandamizi Toka Mamlaka ya Mapato Tanzania
(TRA) Bw. Beldom Chaula akiwasilisha mada kuhusu Sheria Mpya ya Kodi ya
Ongezeko la Thamani ya mwaka 2014 wakati wa semina ya kuwajengea uelewa kuhusu
Sheria hiyo iliyoanza kutumika Julai 1, 2015 Leo Jijini Dar es Salaam.
Mjumbe kutoka Shirikisho la Viwanda Tanzania
(CTI), akiuliza maswali kwa wawakilishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
kuhusu Sheria Mpya ya Kodi ya Ongezeko la Thamani ya mwaka 2014.
Mmoja wa wajumbe kutoka Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI), akiuliza maswali kwa wawakilishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhusu Sheria Mpya ya Kodi ya Ongezeko la Thamani ya mwaka 2014.
Mmoja wa wajumbe kutoka Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI), akiuliza maswali kwa wawakilishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhusu Sheria Mpya ya Kodi ya Ongezeko la Thamani ya mwaka 2014.
Makamu wa Pili wa Mwenyekiti wa Shirikisho
la Viwanda Tanzania (CTI) Bw. Pankaj Kumar akiongea wakati wa semina ya
kuwajengea uelewa kuhusu Sheria Mpya ya Kodi ya Ongezeko la Thamani ya mwaka
2014 iliyoanza kutumika kuanzia Julai 1, 2015, Leo Jijini Dar es Salaam.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania
(TRA) Bw. Rished Bade akitolea ufafanuzi baadhi ya hoja zilizoibuliwa na wadau
kutoka Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI) kuhusu Sheria Mpya ya Kodi ya
Ongezeko la Thamani ya mwaka 2014, wakati wa Semina ya kuwajengea uelewa Kuhusu
Sheria Hiyo.
Ofisa Mwandamizi Toka Mamlaka ya Mapato Tanzania
(TRA) Bw. Beldom Chaula akitolea ufafanuzi baadhi ya hoja zilizoibuliwa na
wadau kutoka Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI) kuhusu Sheria Mpya ya Kodi ya
Ongezeko la Thamani ya mwaka 2014.
Ofisa Kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw.
Donasian Assey akitolea ufafanuzi baadhi ya hoja zilizoibuliwa na wadau kutoka
Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI) kuhusu Sheria Mpya ya Kodi ya Ongezeko la
Thamani ya mwaka 2014.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda
Tanzania (CTI) Leodger Tenga akimueleza Jambo Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya
Mapato Tanzania (TRA) Bw. Rished Bade wakati wa semina ya kuwajengea uelewa
kuhusu Sheria Mpya ya Kodi ya Ongezeko la Thamani ya mwaka 2014 iliyoanza
kutumika kuanzia Julai 1, 2015, Leo Jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mwandamizi Toka Mamlaka ya Mapato Tanzania
(TRA) Bw. Beldom Chaula akiwaeleza jambo baadhi ya wadau kutoka Shirikisho la
Viwanda Tanzania (CTI) wakati wa semina ya kuwajengea uelewa kuhusu Sheria Mpya
ya Kodi ya Ongezeko la Thamani ya mwaka 2014 iliyoanza kutumika kuanzia Julai
1, 2015, Leo Jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Hassan Silayo – Maelezo)

No comments:
Post a Comment