Frank Domayo (kushoto) wa Azam FC akiwania kuudhibiti mpira ambao pia ukiwaniwa na Hassan Wasswa wa KCCA ya Uganda, wakati wa mchezo wa Nusu Fainali ya michuano ya Kombe la Kagame, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Azam imeshinda bao 1-0 na kuingia Fainali ya michuano hiyo, itakayopigwa Jumapili ya keshokutwa uwanjani hapo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Kipre Tchetche wa Azam FC, akiwania mpira na Hassan Wasswa wa KCCA.
John Bocco wa Azam FC akiudhibiti mpira uliokuwa ukiwaniwa na Hassan Wasswa wa KCCA.
John Bocco, akiwatoka Hassan Wasswa (kulia) na Ochaya Joseph (kushoto) wa KCCA.
John Bocco wa Azam FC (kulia) akiwania mpira na Ochaya Joseph wa KCCA.
Mashabiki waliokuwa wamekaa kwenye jukwa la Yanga wakifuatilia mchezo huo.
Mashabiki wa Azam FC, wakionesha bango lao la kuwadhihaki Yanga waliowatoa katika hatua ya Robo fainali kwa mikwaju ya penalti 5-3.
John Bocco wa Azam FC, akilitia kashkash lango la KCCA.
Shah Farid Mussa wa Azam FC, akijaribu kumpiga chenga Mutyaba Muzamiru wa KCCA.
Mutyaba Muzamiru wa KCCA, akidondoka chini baada ya kupigwa chenga na Shah Farid Mussa wa Azam FC.
Kipre Tchetche wa Azam FC, akijaribu kumpiga chenga Awany Timothy wa KCCA.
Shah Farid Mussa wa Azam FC, akikimbia kushangilia bao aliloifungia timu yake katika mchezo huo na kuipeleka klatika mchezo wa Fainali dhidi ya Gor Mahia ya Kenya keshokutwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Wachezaji wa Azam FC, wakimpongeza Shah Farid Mussa, wakati wakishangilia bao aliloifungia timu yake hiyo dhidi ya KCCA ya Uganda wakati wa mchezo wa Nusu fainali ya michuano ya Kombe la Kagame, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Azam imefanikiwa kucheza fainali kwa kuitoa KCCA kwa bao 1-0.

Wachezaji wa Azam FC, wakicheza ndombolo, wakati wakishangilia bao lililoifungwa na Shah Farid Mussa, dhidi ya KCCA ya Uganda, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Didier Kavumbagu wa Azam FC, akiudhibiti mpira hukua akifuatwa na Okot Denis wa KCCA ya Uganda wakati wa mchezo huo wa Nusu fainali ya michuano ya Kombe la Kagame, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Okot Denis wa KCCA akiuwahi mpira uliokuwa ukiwaniwa na Shah Farid Mussa wa Azam FC.
Okot Denis wa KCCA akiondoka na mpira baada Shah Farid Mussa wa Azam FC, kudondoka.

Mashabiki wa Simba wakifuatilia mchezo kati ya timu hizo.

No comments:
Post a Comment