Amiri
wa Jumuiya ya Answari Suna Tanzania, Shekh. Juma Omari Poli (kulia), akiswalisha Swala
ya Iddi katika viwanja hivyo.
Shekh
Hamid Abdallah, akitoa mawaidha wakati wa ibada ya Swala ya Idi katika Viwanja
vya Jangwani Dar es Salaam leo.
Waumini wa madhehebu ya Anwar-Suni wakiswali katika viwanja hivyo.
Swala ikiendelea. (Imeandaliwa na Dotto Mwaibale)

No comments:
Post a Comment