Baadhi ya wakazi wa Kata ya Nyakanazi Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera wakiwa kwenye mkutano wa kampeni ya kutoa elimu kuhusiana na Fistula inayowakabili wanawake hapa nchini,Kampeni hiyo inayoendeshwa na Hospitali ya CCBRT kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania kupitia taasisi yake ya Vodacom Foundation imezinduliwa mwishoni mwa wiki na itafanyika katika mikoa mitatu kuwasisitiza wakina mama kujitokeza ili wakatibiwe maradhi hayo kwani yanatibika. Inakadiriwa kwa mwaka wastani ya wanawake 2,500-3,000 hupatwa na maradhi hayo wanapojifungua.
Doricas George (26) Mkazi wa Kata ya Nyakanazi Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera (kushoto)akijibu maswali mbalimbali kuhusiana na maradhi ya Fistula aliyokuwa akiulizwa na Balozi wa maradhi hayo Mrisho Mpoto(kulia)alipokuwa akitoa elimu kuhusiana na maradhi hayo inayoendelea kutolewa katika mikoa mitatu nchini ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya kusisitiza wakina mama kujitokeza ili wakapatiwe matibabu katika hospitali ya CCBRT kwa kushirikiana na taasisi ya Vodacom Foundation kutokomeza janga hilo.Katikati ni Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Grace Lyon. Wakinamama wakazi wa kata ya Nyakanazi Wilaya ya Biharamulo Mkoa wa Kagera wakimsikiliza kwa makini Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon alipokuwa akiwafafanulia jambo kuhusiana na elimu ya maradhi ya Fistula wakati wa Kampeni ya kutokomeza maradhi hayo hayo inayoendelea kutolewa katika mikoa mitatu nchini ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya kusisitiza wakina mama kujitokeza ili wakapatiwe matibabu katika hospitali ya CCBRT kwa kushirikiana na taasisi ya Vodacom Foundation kutokomeza janga hilo. Inakadiriwa kwa mwaka wastani ya wanawake 2,500-3,000 hupatwa na maradhi hayo wanapojifungua.
Wakinamama wakazi wa kata ya Nyakanazi Wilaya ya Biharamulo mkoa wa Kagera wakimsikiliza kwa makini Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon alipokuwa akiwafafanulia jambo kuhusiana na elimu ya maradhi ya Fistula wakati wa Kampeni ya kutokomeza maradhi hayo hayo inayoendelea kutolewa katika mikoa mitatu nchini ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya kusisitiza wakina mama kujitokeza ili wakapatiwe matibabu katika hospitali ya CCBRT kwa kushirikiana na taasisi ya Vodacom Foundation kutokomeza janga hilo. Inakadiriwa kwa mwaka wastani ya wanawake 2,500-3,000 hupatwa na maradhi hayo wanapojifungua.
Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon akitoa elimu kwa wakazi wa kata ya Nyakanazi Wilaya ya Biharamulo Mkoa wa Kagera,kuhusiana na maradhi ya Fistula wakati wa mwendelezo wa Kampeni ya kutokomeza maradhi hayo inayoendelea kutolewa katika mikoa mitatu nchini ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya kusisitiza wakina mama kujitokeza ili wakapatiwe matibabu katika hospitali ya CCBRT kwa kushirikiana na taasisi ya Vodacom Foundation kutokomeza janga hilo.


No comments:
Post a Comment