Baadhi ya waandishi wa habari wakimfuatilia kwa
makini Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakati akisoma taarifa ya
kukamilika kwa uchunguzi dhidi ya
aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eliakimu Maswi kuhusu
kuhusika kwake na kashfa ya Escrow na ile ya tume ya uchunguzi wa malalamiko
yaliyotokana na utekelezaji wa operesheni tokomeza. (Picha zote na Eliphace
Marwa – MAELEZO)
Friday, May 8, 2015
Serikali yatoa Taarifa ya Tume kukamilisha kazi ya Uchunguzi dhidi ya Maswi wa Nishati kuhusika na sakata la ESCROW na ile ya Operesheni Tokomeza
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto)
akisoma taarifa ya kukamilika kwa uchunguzi dhidi ya aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na
Madini Eliakimu Maswi kuhusu kuhusika kwake na kashfa ya Escrow na ile ya tume
ya uchunguzi wa malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa operesheni tokomeza
kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema hii leo jijini Dar es Salaam,
kulia niMwandishi wa Habari Msaidizi wa Rais Bi. Premi Kibanga.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto)
akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa
akisoma taarifa ya kukamilika kwa uchunguzi dhidi ya aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na
Madini Eliakimu Maswi kuhusu kuhusika kwake na kashfa ya Escrow na ile ya tume
ya uchunguzi wa malalamiko yaliyotokana na utekelezaji wa operesheni tokomeza
mapema hii leo jijini Dar es Salaam , kulia niMwandishi wa Habari Msaidizi wa
Rais Bi. Premi Kibanga.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment