TANGAZO


Sunday, May 17, 2015

Mwenge wa Uhuru watua Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kuanza kukimbizwa Visiwani Zanzibar

KAIMU Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Nd. Yahya Nawanda akitoa taarifa za mkoa huo kabla ya kuukabidhi mwenge wa uhuru kwa uongozi wa Mkoa wa Mjini Magharib, makabidhiano hayo yalifanyika katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume. (Picha zote na Haroub Hussein). 
MAKAMANDA wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakiwa katika mapokezi ya Mwenge wa uhuru katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume. (Picha na Haroub Hussein). 
KIONGOZI wa mbio za wa uhuru kitaifa 2015, Nd. Juma Khatib Chum (kushoto) akiagana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi (RPC) , Renatha Mzinga katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,  wakati wa makabidhiano wa mwenge huo kwa Mkoa wa Mjini Magharib.
MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharib, Mhe. Abdala Mwinyi Khamis (kushoto) akimkaribisha Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru Kitaifa 2015, Juma Khatib Chum kukimbiza mwenge huo katika mkoa Mjini Magharib, baada ya makabidhiano kutoka Mkoa wa Lindi. 
KAIMU Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Nd. Yahya Nawanda (kushoto) akimkabidhi mwenge wa Uhuru, Mkuu wa Wilaya ya Magharib 'B' Nd. Ayoub Mohammed kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa Mjini Magharib, makabidhiano hayo yalifanyika katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume.
MKUU wa Wilaya ya Magharib 'B' Nd. Ayoub Mohammed akitoa salamu za Mkoa wa Mjini Magharib , muda mfupi baada ya kuupokea mwenge wa uhuru kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Nd. Yahya Nawanda katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume.
KIONGOZI wa mbio za mwenge wa uhuru Kitaifa, Nd. Juma Khatib Chum (kulia) akimkabidhi mwenge wa uhuru Mkuu wa Mkoa Mjini Magharib, Mhe. Abdalla Mwinyi Khamis, wakati wa mapokezi ya mwenge huo katika uwanja wa ndege wa Abeid Amani Karume ukitokea Mkoa wa Lindi. 
MAKAMANDA wa Vikosi vya ulinzi na usalama wakipokea mwenge wa uhuru katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, ukitokea katika Mkoa wa Lindi. 
MAKAMANDA wa Vikosi vya ulinzi na usalama wakipokea mwenge wa uhuru katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, ukitokea katika Mkoa wa Lindi.
MAKAMANDA wa Vikosi vya ulinzi na usalama wakipokea mwenge wa uhuru katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, ukitokea katika Mkoa wa Lindi.

Juu na Chini, Viongozi wa makundi mbalimbali wakipokea Mwenge wa Uhuru.


MWENGE wa Uhuru ukikimbizwa katika maeneo mbali mbali ya Wilaya ya Mjini. 
MWENGE wa Uhuru ukikimbizwa katika maeneo mbali mbali ya Wilaya ya Mjini. 
KAMANDA Mkuu wa Brigedia ya Nyuki Zanzibar, Brigedia Jenerali, Cyrill Ivor Mhaiki akipokea mwenge wa uhuru kutoka kwa mkimbiza mwenge kitaifa, Arnold George Litimba wakati mwenge huo ulipofika Makao makuu ya Brigedia ya Nyuki Migombani. 

No comments:

Post a Comment