Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO)
wa Kampuni za MeTL Group na Mbunge wa Jimbo la Singida mjini, Mh.
Mohammed Dewji (kulia) katika picha ya pamoja na Rais wa Msumbiji, Mh.
Filipe Nyusi walipokutana jijini Dar es Salaam. Rais huyo anayefanya
ziara yake ya kwanza nje ya nchi kama Rais wa Msumbiji yuko katika ziara
rasmi ya siku tatu nchini Tanzania.

No comments:
Post a Comment