TANGAZO


Saturday, May 23, 2015

Mahafali ya Chuo Cha Ualimu Al Haramain, Kidato cha Sita Sekondari Al Haramain jijini Dar es Salaam leo


Wahitimu wa Chuo cha Ualimu cha Al Haramain, wakiingia katika viwanja vya mahafali wakati wa mahafali yao ya 28, jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Wahitimu wa Chuo cha Ualimu cha Al Haramain na wa Kidato cha Sita wa Sekondari ya Al Haramain, wakiingia kwenye viwanja vya mahafali.
Mgeni rasmi katika mahafali hayo, Sheikh Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Imamu wa Msikiti wa Mwembechai, Mohamed Muhenga (katikati), akiwa na Wakuu wa Sekondari na Chuo cha Al Haramain, Nuhu Jabir (wa pili kushoto), Suleiman Urassa (wa nne), wakati wa kunza hafla hiyo. Kushoto ni Mkuu wa Taalum wa Sekondari hiyo, Mwalimu Rashid Kassim.
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Nuhu Jabir, akitoa maelezo mbalimbali kuhusu Sekondari hiyo, wakati wa mahafali hiyo.
Baadhi ya wahitimu wa Ualimu wakiwa katika mahafali hayo.
Mkuu wa Chuo cha Ualimu cha Al Haramain, Suleiman Urassa, akitoa maelezo mbalimbali kuhusu chuo hicho, wakati wa mahafali hiyo.
Mhitimu wa Cheti cha Ualimu wa Awali, Ramla Rabii (kushoto), akighani utenzi wakati wa mahafali ya Chuo pamoja na Kidato cha Sita cha Al Haramain, Dar es Salaam leo.
Wahitimu wavulana wa Ualimu na wa Kidato cha Sita wakiwa katika mahafali yao leo.
Mgeni rasmi katika mahafali hayo, Sheikh Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Imamu wa Msikiti wa Mwembechai, Mohamed Muhenga, akitoa nasaha zake kwa wahitimu wakati wa mahafali hayo. Kushoto ni Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Nuhu Jabir na kulia ni Mkuu wa Chuo cha Ualimu cha Al Haramain, Suleiman Urassa.
Wahitimu wa kike wa Ualimu na wa Kidato cha Sita wakiwa katika mahafali yao leo.
Mhitimu wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari Al Haramain, Zuwena Hafidh, akipokea cheti cha kuhitimu kutoka kwa mgeni rasmi, Sheikh Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Imamu wa Msikiti wa Mwembechai, Mohamed Muhenga, wakati wa mahafali ya Chuo na Sekondari, Dar es Salaam leo. Kulia kwa mgeni rasmi ni Mkuu wa Shule, Nuhu Jabir.
Mhitimu wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari Al Haramain, Hadia Salim, akipokea cheti cha uanafunzi bora upande wa Taalum kwa wasichana kutoka kwa mgeni rasmi, Sheikh Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Imamu wa Msikiti wa Mwembechai, Mohamed Muhenga.
Mhitimu wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari Al Haramain, Bakari Dibwa, akipokea cheti cha kuhitimu kutoka kwa mgeni rasmi, wakati wa mahafali ya Chuo na Sekondari, Dar es Salaam leo.
Mhitimu wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari Al Haramain, Khadija Mponda, akipokea cheti cha kuhitimu kutoka kwa mgeni rasmi, Sheikh Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Imamu wa Msikiti wa Mwembechai, Mohamed Muhenga.
Mhitimu wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari Al Haramain, Hassan Chambuso, akipokea cheti cha kuhitimu kutoka kwa mgeni rasmi.
Mhitimu wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari Al Haramain, Mussa Marjani, akipokea cheti cha uanafunzi bora upande wa Taalum kwa wavulana kutoka kwa mgeni rasmi, Sheikh Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Imamu wa Msikiti wa Mwembechai, Mohamed Muhenga, wakati wa mahafali ya Chuo na Sekondari, Dar es Salaam leo.
Mhitimu wa Ualimu wa Shule za Msingi Ngazi ya Cheti, ambaye ni mwanachuo bora, Fatma Othman akipokea cheti chake kutoka kwa Mgeni Rasmi, Sheikh Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Imamu wa Msikiti wa Mwembechai, Mohamed Muhenga. Kulia ni Mkuu wa Sekondari ya Al Haramain, Nuhu Jabir, kulia kwa mgeni rasmi ni Mkuu wa Chuo, Suleima Urassa na Mwalimu wa Taalum wa Chuo, Ayoub Twahir.
Mhitimu wa Cheti cha Ualimu wa Awali, Dadi Abdallah, akipokea cheti chake kutoka kwa mgeni rasmi, wakati wa mahafali ya Chuo pamoja na Kidato cha Sita cha Al Haramain, Dar es Salaam leo.
Mhitimu wa Ualimu wa Shule za Msingi, Ngazi ya Cheti,Hajra Mohamed, akipokea cheti chake kutoka kwa  Mgeni Rasmi, Sheikh Mkuu, Wilaya ya Kinondoni, Imamu wa Msikiti wa Mwembechai, Mohamed Muhenga. 
Mhitimu wa Ualimu wa Shule za Msingi, Ngazi ya Cheti, Mary Mtaji, akipokea cheti chake kutoka kwa  Mgeni Rasmi, Sheikh Mkuu, Wilaya ya Kinondoni, Imamu wa Msikiti wa Mwembechai, Mohamed Muhenga.
Mhitimu wa Cheti cha Ualimu wa Shule za Msingi, Luswaga Nhindilo, akipokea cheti chake kutoka kwa mgeni rasmi wakati wa mahafali hayo, leo jijini Dar es Salaam leo.
Mhitimu wa Cheti cha Ualimu wa Shule za Msingi, Nyange Salum, akipokea cheti chake kutoka kwa mgeni rasmi wakati wa mahafali hayo.
Mhitimu wa Cheti cha Ualimu wa Awali, Maimuna Masoud, akipokea cheti chake kutoka kwa mgeni rasmi wakati wa mahafali ya Chuo pamoja na Kidato cha Sita cha Al Haramain, Dar es Salaam leo.
Mhitimu wa Cheti cha Ualimu wa Awali, Raya Abdallah, akipokea cheti chake kutoka kwa mgeni rasmi.
Mhitimu wa Stashahada ya Ualimu wa Sekondari, Khadija Makame, akipokea cheti chake wakati wa mahafali hayo, jijini leo.

No comments:

Post a Comment