Watendaji wa Ofisi ya Rais wakisikiliza uwasilishaji wa Bajeti ya Ofisi ya Rais kupitia Runinga, mjini Dodoma jana.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya
Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) pamoja na Waheshimiwa Mawaziri
walio Ofisi ya Rais, wakikutana na Watendaji wa Ofisi ya Rais wakati wa
kuwasilisha bajeti ya Ofisi ya Rais Bungeni, mjini Dodoma jana.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya
Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) pamoja na Waheshimiwa Mawaziri
walio Ofisi ya Rais, wakikutana na Watendaji wa Ofisi ya Rais wakati wa
kuwasilisha bajeti ya Ofisi ya Rais Bungeni, mjini Dodoma. (Picha zote na Happy Shayo)

No comments:
Post a Comment