TANGAZO


Monday, March 9, 2015

Wanawake Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo waungana na wanawake duniani kusherehekea Siku ya Wanawake

 Mke wa Rais Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikwete, akihutubia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wanawake wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakiungana na wanawake duniani kusherehekea Siku ya Wanawake, viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wanawake wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakiwa kwenye maandamano ya kuadhinisha Siku ya wanawake, Duniani viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wanawake wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakipita mbele ya mgeni rasmi, Mama Salma Kikwete katika maadhimisho hayo jana.
Vijana wakicheza na nyoka kwenye maandamano ya kuadhinisha Siku ya wanawake, Duniani viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam jana. 

No comments:

Post a Comment