TANGAZO

Monday, March 2, 2015

Rais Kikwete aongoza kumuaga Marehemu John Komba Karimjee

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba, Mbunge wa Jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo, Kapteni Komba anatarajiwa kuzikwa kijijini kwake, Lituhi, Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma. 

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimfariji mjane wa marehemu Kapteni John Komba, Salome Komba katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo, wakati wa kuuaga mwili wake . (Picha zote na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment