TANGAZO

Thursday, February 26, 2015

Zaidi ya wakufunzi 30 mkoani Mbeya washiriki katika semina ya M-PAWA

Na Mwandishi wetu
ZAIDI ya wakufunzi (30) wa Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Mbeya washiriki katika semina  ya elimu ya kifedha na  huduma ya M-Pawa  inayolenga kuwanufaisha zaidi ya wakulima 140,000 Tanzania. 
Semina hiyo iliandaliwa na Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya Biashara ya Afrika (CBA) na Shirika lisilo la kiserikali la TechnoServe chini ya udhamini  wa (USAID).
Mshauri wa biashara wa shirika lisilo la kiserikali la TechnoServe, Reginald Mpolo akitoa elimu kwa wakufunzi wa Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya (hawapo pichani) wakati wa semina iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania na Benki ya Afrika (CBA) hapo jana  juu ya huduma ya M-Pawa  inayolenga kuwanufaisha wakulima 140,000 Tanzania kupata Elimu ya M-Pawa na elimu ya kifedha. Semina hiyo ilidhaminiwa na (USAID). 
Baadhi ya wakufunzi wa Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya wakimsikiliza Mshauri wa Biashara wa shirika lisilo la kiserikali la TechnoServe, Reginald Mpolo akitoa elimu wakati wa semina hiyo hapo jana iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania na Benki ya Biashara ya Afrika (CBA) juu ya huduma ya M-Pawa  inayolenga kuwanufaisha wakulima 140,000 Tanzania kupata Elimu ya M-Pawa na elimu ya kifedha. Semina hiyo ilidhaminiwa na (USAID).

Baadhi ya wakufunzi wa Wilaya ya Mbozi, mkoani Mbeya, wakiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania na wa Shirika lisilo la kiserikali la TechnoServe.   
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania na wa shirika lisilo la kiserikali la TechnoServe wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya  semina kumalizika  hapo jana iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania na Benki ya Afrika (CBA) iliyokuwa na lengo la kutoa elimu ya kifedha na  huduma ya M-Pawa  inayolenga kuwanufaisha wakulima 140,000 Tanzania. Semina hiyo ilidhaminiwa na(USAID).

No comments:

Post a Comment