TANGAZO


Saturday, February 14, 2015

Yanga yaipiga BDF XI mabao 2-1, Kombe la Shrikisho barani Africa

Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la kwanza la timu hiyo dhidi ya BDF XI FC, lililofungwa na Hamis Tambwe, wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Ubao wa matangazo ukionesha Yanga bao 1-BDF XI ya Botswana 0.
Hamis Tambwe wa Yanga, akitafuta mbinu ya kumpiga chenga Kabelo Seakanyenga wa BDF XI ya Botswana.
Andrey Countinho wa Yanga akimtoka Mosha Gaolaolwe wa BDF XI FC ya Botswana wakati wa mchezo huo leo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda mabao 2-0. 
 Andrey Countinho wa Yanga akimtoka Mosha Gaolaolwe wa BDF XI FC ya Botswana wakati wa mchezo huo leo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
 Andrey Countinho wa Yanga akimpeleka puta Mosha Gaolaolwe wa BDF XI FC ya Botswana wakati wa mchezo huo leo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
 Andrey Countinho wa Yanga akimtoka Pelontle Lerole wa BDF XI FC ya Botswana wakati wa mchezo huo leo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
 Andrey Countinho wa Yanga akipambana na Pelontle Lerole wa BDF XI FC ya Botswana wakati wa mchezo huo leo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Simon Msuva wa Yanga akiwakimbiza Master Mistara wa BDF XI ya Botswana wakati wa mchezo huo leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo kati ya timu yao hiyo dhidi ya BDF XI ya Botswana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo kati ya timu yao hiyo dhidi ya BDF XI ya Botswana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
 Ubao wa matokeo ukiwa bado unaonesha matokeo, Yanga bao 1, BDF XI - 0.
Mrisho Ngassa wa Yanga akijaribu kumpiga chenga Othusitse wa BDF XI ya Botswana.
Mrisho Ngassa wa Yanga akimtoka Othusitse wa BDF XI ya Botswana, wakati wa mchezo huo. 
 Mrisho Ngassa wa Yanga akipiga mpira huo, huku Othusitse wa BDF XI ya Botswana, akijaribu kuuzuiya.
Mrisho Ngassa wa Yanga akimpambana na Kabelo Seakanyenga wa BDF XI ya Botswana.
Mrisho Ngassa wa Yanga akiwania mpira huo na Kabelo Seakanyenga wa BDF XI ya Botswana.
Hamis Tambwe (kulia) na Simon Msuva wakishangilia bao la pili la timu hiyo, lililofungwa na Tambwe baada ya kupata pasi ya Mrisho Ngassa wa timu hiyo.
Wachezaji Hamis Tambwe (katikati), Simon Msuva (nyuma) na Mrisho Ngassa (mbele), wakishangilia bao la pili la timu hiyo, dhidi ya BDF XI FC ya Botswana, lililofungwa na Tambwe, wakati timu hizo zilipopambana katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Yanga ilishinda mabao 2-0.
Wachezaji Hamis Tambwe, Simon Msuva (kushoto) na Mrisho Ngassa (katikati), wakishangilia bao hilo la pili kwa timu yao ya Yanga iliyoshinda mabao 2-0 dhidi ya BDF XI ya Botswana..
 Mashabiki wa Yanga wakishangilia timu yao baad ya Hamis Tambwe kuifungia bao la pili dhidi ya BDF XI ya Botswana.
Ubao wa matangazo ukionesha Yanga mabao 2 na BDF XI 0. 
Andrey Countinho wa Yanga, akimtoka Othusitse Mpharitlhe wa BDF XI ya Botswana, wakati wa mchezo huo leo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Othusitse Mpharitlhe wa BDF XI ya Botswana, akiukimbilia mpira huku akifuatwa na Andrey Countinho wa Yanga, wakati wa mchezo huo.

No comments:

Post a Comment