TANGAZO

Thursday, February 26, 2015

Twanga Pepeta, FM Academia kupambana Machi 28 mwaka huu

Rais wa kundi la FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma', Nyoshi El Saadat, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu mpambano wao la kundi la African Stars 'Twanga Pepeta', utakaofanyika Machi 28, mwaka huu, ukumbi wa Escape One Mikocheni jijini. Kulia ni Mkurugenzi wa ASET, wamiliki wa kundi hilo, Asha Baraka na katikati ni Kiongozi wa Twanga Pepeta, Luizer Mbutu. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Kiongozi wa Twanga Pepeta, Luizer Mbutu, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu mpambano wao na kundi la FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma', utakaofanyika Machi 28, mwaka huu, ukumbi wa Escape One, Mikocheni jijini. Kulia ni Mkurugenzi wa ASET, wamiliki wa kundi la Twanga Pepeta, Asha Baraka  na kushoto ni Rais wa FM Academia, Nyoshi El Saadat.
Mkurugenzi wa ASET, wamiliki wa kundi la Wana Twanga Pepeta, Asha Baraka akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu mpambano wao na kundi la FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma', utakaofanyika Machi 28, mwaka huu, ukumbi wa Escape One, Mikocheni jijini. Kushoto ni Rais wa FM Academia, Nyoshi El Saadat na katikati ni Kiongozi wa Twanga Pepeta, Luizer Mbutu.

Kiongozi wa Twanga Pepeta, Luizer Mbutu, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati walipokuwa wakielezea kuhusu mpambano wao na kundi la FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma', utakaofanyika Machi 28, mwaka huu, ukumbi wa Escape One, Mikocheni jijini. 
Wacheza shoo wa kundi la Twanga Pepeta, wakizirudi ngoma za kundi hulo, wakati wa mkutano huo na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment