TANGAZO

Sunday, February 1, 2015

Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa Chama Cha Mapinduzi Mjini Songea

Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na maelfu ya wananchi wakati akiingia katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo  kuongoza kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM

Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na UVCCM katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo  katika  kilele cha shereheza kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.

Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete  wakipokea gwaride la heshima lililoandaliwa na UVCCM katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo  katika  kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM. 

 Vijana wa Chipukizi wakipita kwa gwaride mbele ya Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete, wakati wa maadhimisho hayo.
Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wananchi uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo katika  kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.
Msanii Diamond akipongezwa na chipukizi wa UVCCM baada ya kutumbuiza katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo  katika  kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM 
Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea wanachama wapya akiwa na Mbunge wa Songe Mjini Dkt Emmanuel Nchimi nan Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika Uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo  katika  kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment