Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo jipya la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kutoka kushoto ni Katibu Mtendaji wa (NACTE) Dkt. Primus Nkwela,Kamishina wa Elimu Profesa Uestella Bhalalusesa, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara wa wizara hiyo Consolata Mgimba na Mwenyekiti wa barabaza la Taifa la Elimu ya Ufundi Mhandisi Steven Mlote.Hafla hiyo ya Uzinduzi ilifanyika katika makao makuu ya ofisi hizo Mikocheni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo jipya la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kutoka kushoto ni Katibu Mtendaji wa (NACTE) Dkt. Primus Nkwela,Kamishina wa Elimu Profesa Uestella Bhalalusesa,Naibu Katibu Mkuu wa Wizara wa wizara hiyo Consolata Mgimba na Mwenyekiti wa barabaza la Taifa la Elimu ya Ufundi Mhandisi Steven Mlote.Hafla hiyo ya Uzinduzi ilifanyika katika makao makuu ya ofisi hizo Mikocheni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa (kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Consolata Mgimba wakizinduzi jengo jipya la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi(NACTE) uzinduzi huo ulifanyika makao makuu ya NACTE Mikocheni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Katibu Mkuu waWizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Sifuni Mchome akinongonezwa jambo na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Primus Nkwela wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo jipya la Mitihani uliofanyika makao makuu ya ofisi hizo Mikocheni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Primus Nkwela, akisikilizwa jambo na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa (kushoto) na wadau wengine wa elimu wakati alipokuwa akielezea jinsi walivyofanikiwa kujenga jengo hilo jengo hilo wakati wa uzinduzi wa jengo hilo jipya la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi(NACTE) uliofanyika Mikocheni B jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa (katikati) akimshukuru Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi, Mhandisi Steven Mlote baada ya kumkabidhi zawadi katika hafla ya uzinduzi wa jengo jipya la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi(NACTE) uliofanyika Mikocheni B jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt. Primus Nkwela.
Waziri
wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt.
Shukuru Kawambwa akionesha cheti halali cha matumizi ya jengo jipya
alilolizindua la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi(NACTE) lililopo
makao makuu ya Baraza hilo Mikocheni B jijini Dar es Salaam. Wakishuhudia
kulia ni Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt.Primus Nkwela na Mwenyekiti wa
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi,
Mhandisi Steven Mlote.
Katibu
Mkuu waWizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome (kulia) akisikilizwa kwa makini na Waziri wa Elimu na
Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa (kushoto ) na Katibu Mtendaji wa Baraza la
Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt. Primus Nkwela (katikati)alipokuwa akifafanulia
jambo wakati wa hafla ya uzinduzi wa
jengo jipya la Mitihani lililopo Mikocheni B jijini Dar es Salaam mwishoni mwa
wiki.
No comments:
Post a Comment