Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hillary Daud ‘Zembwela’akisalimiana na wateja wa Vodacom Tanzania walifika kupata huduma mbalimbali katika duka la kampuni hiyo lililopo Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumkabidhi kitita cha shilingi milioni 1 mmoja wa washindi wa Promosheni hiyo Claudia Mapunda(hayupo pichani)
Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa
na Vodacom Tanzania Hillary Daud ‘Zembwela’na Claudia Mapunda(kulia)ambaye
aliibuka mshindi wa kitita cha shilingi milioni 1/-kupitia promosheni hiyo wakihesabu
fesha hizo kabla ya Balozi huyo kumkabidhi rasmi kitita chake katika hafla
iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno JAY au AUTO kwenda
namba 15544.
No comments:
Post a Comment