TANGAZO


Wednesday, January 28, 2015

Matukio mbalimbali katika picha ya Mwenyekiti wa CUF Profesa Lipumba wakati wa kuepelekwa Mahakamani leo

Baadhi ya wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF), wakiwasili Kituo cha Polisi cha Kati, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Baadhi ya wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF), wakiwasili Kituo cha Polisi cha Kati, Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akiwasili Kituo cha Polisi cha Kati, Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akiwasili Kituo cha Polisi cha Kati, Dar es Salaam leo.
Magari ya Kikosi cha Askari wa Kutuliza Ghasia yakiwa Kituo cha Polisi cha Kati, Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akiwa pamoja na baaadhi ya viongozi wa chama hicho, baada ya kuhojiwa Kituo cha Polisi cha Kati, Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuhojiwa Kituo cha Polisi cha Kati, Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuhojiwa Kituo cha Polisi cha Kati, Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuhojiwa Kituo cha Polisi cha Kati, Dar es Salaam leo.

Mmoja wa Wanasheria wa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akizungumza na waandishi wa habari Kituo cha Polisi cha Kati, Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akiwa anaondoka Kituo cha Polisi cha Kati, Dar es Salaam leo baada ya kuhojiwa anarejeshwa kituoni hapo na ofisa wa Polisi (kulia), baada ya kumuleza kuwa anatakiwa kurejea tena kituoni hapo kwa maelezo zaidi.
Mmoja wa viongozi wa CUF, akizungumza na waandishi wa habari kituoni hapo.
Mmoja wa viongozi wa CUF, ambaye alipata kipigo cha Polisi na kuumizwa kichwani, wakati wa kuwashughulikia jana Mbagala, akizungumza na waandishi wa habari kituoni hapo.
Sehemu ambayo Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, alipelekwa kuangaliwa afya yake baada ya mapigo ya moyo kupanda akiwa Kituo cha Polisi cha Kati, Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, alipelekwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kutoka kuangaliwa afya yake.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, alipelekwa kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kutoka kuangaliwa afya yake.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, alisubiri kusomewa shitaka lake kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kutoka kuangaliwa afya yake.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, asalimiana na baadhi ya watu pamoja na wafuasi wake baada ya kusomewa shitaka lake la kuwashawishi watu kutenda kosa la jinai 
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akiwa bado kizimbani baada ya kusomewa shitaka lake la kuwashawishi watu kutenda kosa la jinai.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akisalimiana na wananchi pamoja na wafuasi wake mahakamani hapo kabla ya kuchukuliwa dhamana na kuondoka.

No comments:

Post a Comment