Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Herman Mwansoko akitoa hotuba wakati wa kufunga Mashindano ya Tamasha la Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha kwa kushikiana na Taasisi zake liLIlofanyika viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe jijini Dar es Salaam.
Meneja Mawasiliano Jamii kutoka Mfuko wa Changamoto za Milenia Tanzania (MCA-T) Margaret Mussai akifafanua jambo kwa Mgeni Rasmi Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Herman Mwansoko wakati wa kufunga Mashindano ya Tamasha la Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne yaliyofanyika viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombekuanzia Disema 6-9 mwaka huu jijini Dar es salaam ikiwa ni kilele cha maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
Vijana wa Kikundi cha ngoma kutoka “Hisia Theater Group” wakicheza sarakasi wakati wa kufunga tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne liLIlofanyika viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe jijini Dar es Salaam.
Mwongoza kwaya (conductor) kutoka kwaya Wizara ya Fedha Makao Makuu, Revocatus Mtiro (kushoto), akipokea Kombe la ushindi wa kwanza kutoka kwa Mgeni rasmi Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Herman Mwansoko wakati wa kufunga tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne linalofanyika viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe jijini Dar es Salaam. Kuliaikati ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini (GCU) Ingiahedi Mduma.
Mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Herman Mwansoko (katikati) akimkabidhi Charles Maganga (wa kwanza kushoto) kombe la ushindi wa sanaa ya maigizo wakati wa kufunga tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne linalofanyika viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe jijini Dar es Salaam.
Washindi wa kwanza wa kwaya kutoka kwaya Wizara ya Fedha Makao Makuu wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Herman Mwansoko (katikati mstari wa nyuma waliosimama) mra baada ya kutoa zawadi kwa washindi mbalimbali wakati wa kufunga tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne linalofanyika viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Herman Mwansoko (aliyevaa tisheti nyeupe katikati) akiwa katika picha ya pamoja kikundi cha watumishi kutoka Wakala ya Huduma ya Manunuzi Serikalini (GPSA) wakati wa kufunga tamasha la mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Nne linalofanyika viwanja vya Sigara (TCC) Chang’ombe jijini Dar es Salaam.
(Picha zote na Eleuteri Mangi-MAELEZO)










No comments:
Post a Comment