TANGAZO


Wednesday, December 24, 2014

Maandalizi ya Sikukuu ya Krismas jijini Dar es Salaam

Muuza maua akiwawauzia wateja bidhaa hiyo kwa ajili ya mapambo ya nyumbani kipindi hiki cha Sikukuu ya Mwaka mpya, Dar es Salaam leo.
Wananchi wakiwa katika harakati za manunuzi ya mavazi na mahitaji mengine Mtaa wa Kongo, ikiwa ni maandalizi ya Sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya jijini leo.
Akinamama wakichagua maua ya Krismas ikiwa ni maandalizi ya mwisho ya Sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya, Dar es Salaam leo. 
Mama akimjaribisha gauni binti yake, Mtaa wa Kongo Dar es Salaam leo, ikiwa ni matayarisho ya mwisho ya Sikukuu ya Krismas inayoadhimisha leo duniani kote.
Wananchi wakiwachagulia watoto wao viatu vya Sikukuu, Mtaa wa Kongo Dar es Salaam leo. (Picha na Kassim Mbarouk-www.baya.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment