Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Wizara yake na Ofisi ya Balozi huyo nchini. Balozi Childress alimtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Thursday, December 11, 2014
Balozi wa Marekani nchini Tanzania amtembelea Waziri Chikawe Ofisini kwake jijini Dar es Salaam
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (wapili kulia) akimkaribisha Balozi
wa Marekani nchini, Mark Childress (kulia) pamoja na maofisa wa ubalozi huo,
ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Waziri Chikawe na Balozi huyo
walizungumza masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Wizara yake na Ofisi ya
Balozi huyo nchini. Picha zote na Felix
Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Balozi
wa Marekani nchini, Mark Childress (kulia) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe wakati Balozi huyo alipomtembelea Waziri
Chikawe ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, kujadili masuala mbalimbali ya
ushirikiano kati ya Ubalozi wa Marekani na wizara.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Wizara yake na Ofisi ya Balozi huyo nchini. Balozi Childress alimtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Wizara yake na Ofisi ya Balozi huyo nchini. Balozi Childress alimtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment