Rais wa Bunge la SADC ambaye pia ni Spika wa
Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiwa katika Mazungumzo na Katibu Mkuu wa
Sekretariat ya Wakuu wa Nchi za SADC Dkt. Stergomena Tax alipokutana nae kwa
ajili ya mazungumzo ya kubadilishana taarifa za Bunge la SADC na Sekretariat
hiyo Mjini Gaborone, Botswana jana. kushoto kwa spika ni Katibu Mkuu wa Bunge
la SADC Dkt Esau Chiviya na kulia ni Katibu wa Spika Daniel Eliufoo. Dkt. Tax aliambatana na Dkt. Angello Mondlane (kulia
kwake) Mkurugenzi wa Sera na Mipango na
Mwanasheria wa Sekretariat hiyo Dr. Teodosio Uate.
Rais wa Bunge la SADC ambaye pia ni Spika wa
Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiwa katika Mazungumzo na Katibu Mkuu wa
Sekretariat ya Wakuu wa Nchi za SADC Dkt. Stergomena Tax alipokutana nae kwa
ajili ya mazungumzo ya kubadilishana taarifa za Bunge la SADC na Sekretariat
hiyo Mjini Gaborone, Botswana jana. kushoto kwa spika ni Katibu Mkuu wa Bunge
la SADC Dkt Esau Chiviya aliye kulia kwa Dkt. Tax ni Dkt. Angello Mondlane Mkurugenzi wa Sera na
Mipango wa Sekretariat hiyo.

Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda (kulia), akipokea zawadi kutoka kwa Katibu Mkuu wa Sekretariat ya Wakuu wa Nchi za
SADC Dkt. Stergomena Tax akimpongeza kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Bunge hilo.
Mhe. Makinda alikutana na Dkt. Stergomena Tax Mjini Gaborone, Botswana jana kwa

hiyo jana.

Rais wa Bunge la SADC, ambaye pia ni Spika wa
Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda (katikati) na ujumbe wake akiwa katika picha ya pamoja
na Katibu Mkuu wa Sekretariat ya Wakuu wa Nchi za SADC Dkt. Stergomena Tax
pamoja na ujumbe wake Mjini Gaborone, Botswana jana baada ya mazungumzo. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge.
Rais wa Bunge la SADC, ambaye pia ni Spika wa
Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda (katikati) na ujumbe wake akiwa katika picha ya pamoja
na Katibu Mkuu wa Sekretariat ya Wakuu wa Nchi za SADC Dkt. Stergomena Tax
pamoja na ujumbe wake Mjini Gaborone, Botswana jana baada ya mazungumzo. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge. (Picha zote na Owen David)
No comments:
Post a Comment