TANGAZO


Sunday, November 9, 2014

Makamu wa Rais Dk. Bilal ajumuika na Wana Istiqama Tanzania kuupokea Mwaka Mpya wa Kiislamu 1436 Hijiriya

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na katibu wa Jumuiya ya Istiqaama tawi la Pemba Sheikh Mohammed Suleiman alipowasili viwanja vya karimjee Dar es Salaam leo Novemba 09, 2014, katika hafla kuupokea Mwaka mpya wa Kiislam 1436 Hijriya iliyoandaliwa na Jumuiya ya Istqaama Tanzania.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye Hafla kuupokea Mwaka mpya wa Kiislam 1436 Hijriya iliyoandaliwa na Jumuiya ya Istqaama Tanzania katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam leo Novemba 09, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi ya vitabu Shekh wa Mkoa wa Dar es saalam Alhad Mussa Salum  kwenye hafla ya kuupokea mwaka mpya wa kiislam iliyoandaliwa na  Jumuiya ya Istiqaama Tanzania leo Novemba 09, 2014 katika ukumbi wa karimjee Dar es Salaam mpya wa Kiislam 1436 Hijriya iliyoandaliwa na Jumuiya ya Istqaama Tanzania.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Jumuiya ya Istiqaama Tanzania  baada ya kumalizika kwa  Hafla ya kuupokea Mwaka mpya wa Kiislam 1436 Hijriya iliyoandaliwa na Jumuiya ya Istqaama Tanzania katika ukumbi wa Karimjee, Dar es salaam leo Novemba 09, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na viongozi wa Jumuiya ya Istiqaama Tanzania nje ya ukumbi wa karimjee baada ya kumalizika Hafla kuupokea Mwaka mpya wa Kiislam 1436 Hijriya iliyoandaliwa na Jumuiya ya Istqaama Tanzania leo Novemba 09, 2014. (Picha zote na OMR)

No comments:

Post a Comment