TANGAZO


Wednesday, October 1, 2014

Wamarekani wakaribishwa kuwekeza nchini Tanzania katika maeneo mbalimbali


Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Rajabu Gamaha.
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Rajabu Gamaha akisalimiana na Balozi wa Heshima kutoka Michigan Marekani ambaye pia ni Rais wa Taasisi ya  Sumake Global Partiner, Robert Shumake  ambaye aliongozana na ujumbe wa Marekani wa watu 10 na kufanya nao mazungumzo Dar es Salaam leo asubuhi. Ujumbe huo unajumuisha mabalozi wa heshima wa Tanzania nchini Marekani na wafanyabiashara waliopo nchini kwa ajili ya kuangalia fursa za uwekezaji na vivutio vya utalii.
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Rajabu Gamaha (katikati), akizungumza na ujumbe huo.
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Rajabu Gamaha akisalimiana na Balozi wa Heshima kutoka Marekani ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Tanas Energy Group, William Crawford. Kushoto ni Balozi wa Heshima kutoka California Marekani. Habari zaidi bofya hapa http://www.habari za jamii.com
Ujumbe huo ukimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Rajabu Gamaha. Wa kwanza kushoto na wa pili ni maofisa wa wizara hiyo.
Ujumbe huo ukimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu wa wizara hiyo. Wa pili kushoto ni ofisa wa wizara. 
 Ujumbe huo ukiwa katika mkutano huo na Kaimu Katibu Mkuu.
 Ujumbe huo ukiwa katika mkutano huo na Kaimu Katibu Mkuu.
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Rajabu Gamaha (Wa pili kulia mbele) akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe huo uliofika nchini kuangalia fursa za uwekezaji.

No comments:

Post a Comment