TANGAZO


Sunday, October 5, 2014

Rais Kikwete ashiriki Sala ya Eid Al Hajj Upanga Dar es Salaam

D92A5408
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu muda mfupi baada ya kuswali Sala ya Iddi El Hajj katika msikiti wa Al Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
D92A5531
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia waumini wa Dini ya Kislamu muda mfupi baada ya kuswali sala ya Iddi El Hajj katika msikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
D92A5402
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu muda mfupi baada ya kuswali sala ya Iddi El Hajj katika msikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi. (Picha zote na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment