TANGAZO


Monday, October 20, 2014

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, alivyozindua Chanjo ya Surua na Rubella Kinondoni jijini Dar es Salaam

Baadhi ya wananchi wa Kinondoni na maeneo mengine ya jiji la Dar es Salaam, wakiwa na watoto wao katika uzinduzi wa Chanjo ya Surua na Rubella, Zahanati ya Kambangwa, Kinondoni, Dar es Salaam juzi. Uzinduzi huo, ulifanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Baadhi ya wananchi wa Kinondoni na maeneo mengine ya jiji la Dar es Salaam, wakiwa na watoto wao katika uzinduzi wa Chanjo ya Surua na Rubella, Zahanati ya Kambangwa, Kinondoni, Dar es Salaam juzi.
Wananchi wa Kinondoni na maeneo mengine ya jiji la Dar es Salaam, wakiwa katika uzinduzi wa Chanjo ya Surua na Rubella, Zahanati ya Kambangwa, Kinondoni, Dar es Salaam juzi.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akizungumza, wakati akizindua chanjo ya Surua na Rubella, Zahanati ya Kambangwa, Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam juzi. Wapili kulia ni Naibu Meya wa Kinondoni, Songoro Mnyonge.
Baadhi ya wananchi wa Kinondoni na maeneo mengine ya jiji la Dar es Salaam, wakiwa na watoto wao katika uzinduzi wa Chanjo ya Surua na Rubella, Zahanati ya Kambangwa, Kinondoni, Dar es Salaam juzi.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akizungumza, wakati akizindua chanjo ya Surua na Rubella, Zahanati ya Kambangwa, Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam juzi.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akizungumza, wakati akizindua chanjo ya Surua na Rubella, Zahanati ya Kambangwa, Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam juzi. Katikati ni Naibu Meya wa Kinondoni, Songoro Mnyonge.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akipatiwa maelezo na mmoja wa manesi wa Zahanati ya Kambangwa, Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam juzi, wakati akizindua chanjo ya Surua na Rubella juzi.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akimeza vidonge, wakati akizindua chanjo ya Surua na Rubella, Zahanati ya Kambangwa, Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam juzi. Pia watu wazima walikuwa wakipatiwa dawa za kuzuia Matende na Ngiri maji, wakati wa uzinduzi huo. Chanjo hiyo, iliyoanza juzi itamalizika Oktoba 24, mwaka huu.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akinywa maji kwa ajili ya kumeza vidonge, wakati akizindua chanjo ya Surua na Rubella, Zahanati ya Kambangwa, Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam juzi. Pia watu wazima walikuwa wakipatiwa dawa za kuzuia Matende na Ngiri maji,  wakati wa uzinduzi huo. Chanjo hiyo, iliyoanza juzi itamalizika Oktoba 24, mwaka huu.
Naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge, akimeza dawa wakati wa uzinduzi wa Chanjo ya Surua, Zahanati ya Kambangwa, Kinondoni, Dar es Salaam juzi.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akimpatia mwananchi dawa wakati alipokuwa akizindua chanjo ya Sura na Rubella juzi.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akimpatia mtoto dawa wakati alipokuwa akizindua chanjo ya Sura na Rubella juzi.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akimpatia matone ya chanjo ya Surua na Rubella mmoja wa watoto waliofika katika uzinduzi wa chanjo hiyo juzi.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, akimpatia matone ya chanjo ya Surua na Rubella mmoja wa watoto waliofika katika uzinduzi wa chanjo hiyo juzi.

No comments:

Post a Comment