TANGAZO


Saturday, October 25, 2014

Mahafali ya Shule ya Sekondari Airwing Ukonga jijini Dar es Salaam

Mgeni rasmi kwenye mahafali ya 19 ya Shule ya Sekondari ya Airwing, Ukonga jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Operesheni na Vita wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Brigedia Zoma Kongo, akizungumza na wahitimu wa Kiato cha Nne, wakati wa mahafali yao hayo, shuleni hapo leo. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Shule, Meja Kisakeni Mlighite na kulia ni Mlezi wa Shule, LuteniKanali Mohamed Suleiman. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mgeni rasmi kwenye mahafali ya 19 ya Shule ya Sekondari ya Airwing, Ukonga jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Operesheni na Vita wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Brigedia Zoma Kongo, akizungumza na wahitimu wa Kiato cha Nne, wakati wa mahafali yao hayo, shuleni hapo leo. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Shule, Meja Kisakeni Mlighite na kulia ni Mlezi wa Shule, LuteniKanali Mohamed Suleiman.
Walimu na wageni mbalimbali wakiwa katika mahafali hayo, wakimsikiliza mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Operesheni na Vita wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Brigedia Zoma Kongo, wakati alipokuwa akizungumza katika mahafali hayo, shuleni hapo leo.
Wahitimu wa Kidato cha Nne, wakimsikiliza mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Operesheni na Vita wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Brigedia Zoma Kongo, alipokuwa akizungumza katika mahafali yao hayo, shuleni hapo leo.
Wazazi, walezi pamoja na wageni mbalimbali, wakimsikiliza mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Operesheni na Vita wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Brigedia Zoma Kongo, alipokuwa akizungumza katika mahafali yao hayo, shuleni hapo leo.
Baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo, wakimsikiliza mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Operesheni na Vita wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Brigedia Zoma Kongo, alipokuwa akizungumza katika mahafali hayo, shuleni hapo leo.
Mhitimu wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari Airwing, Ukonga, Agesa Kassim Kalenje, akipokea cheti chake cha kuhitimu kutoka kwa mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Operesheni na Vita wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Brigedia Zoma Kongo.
Mhitimu Agnesa Mhina, akipokea cheti chake cha kuhitimu kutoka kwa mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Operesheni na Vita wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Brigedia Zoma Kongo.
Mhitimu Aika Elias, akipokea cheti chake cha kuhitimu kutoka kwa mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Operesheni na Vita wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Brigedia Zoma Kongo.
Mhitimu wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari Airwing, Ukonga, Aisha Selemani akipokea cheti chake cha kuhitimu kutoka kwa mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Operesheni na Vita wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Brigedia Zoma Kongo.
Mhitimu wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari Airwing, Ukonga, Amina Said, akipokea cheti chake cha kuhitimu kutoka kwa mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Operesheni na Vita wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Brigedia Zoma Kongo.
Mhitimu wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari Airwing, Ukonga, Aminata Krista, akipokea cheti chake cha kuhitimu kutoka kwa mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Operesheni na Vita wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Brigedia Zoma Kongo.
Mhitimu wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari Airwing, Ukonga, Aneth Agast, akipokea cheti chake cha kuhitimu kutoka kwa mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Operesheni na Vita wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Brigedia Zoma Kongo.
Mhitimu Angelnice Mmri, akipokea cheti chake cha kuhitimu kutoka kwa mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Operesheni na Vita wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Brigedia Zoma Kongo.
Mhitimu Angel Kamtawa, akipokea cheti chake cha kuhitimu kutoka kwa mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Operesheni na Vita wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Brigedia Zoma Kongo.
Wazazi, walezi pamoja na wageni mbalimbali, wakiwa tayari pamoja na maua yao kwa ajili ya kuwavalisha watoto na jamaa zao waliokuwa wakihitimu katika mahafali hayo, shuleni hapo leo.
Wazazi, walezi pamoja na wageni mbalimbali, wakiwa tayari pamoja na maua yao kwa ajili ya kuwavalisha watoto na jamaa zao waliokuwa wakihitimu katika mahafali hayo, shuleni hapo leo.
Baadhi ya wahitimu wa Kidato cha Nne, wakiwa katika mahafali yao hayo ya 19 ya shule hiyo leo, jijini Dar es Salaam, wakisubiri kukabidhiwa vyeti vyao vya kuhitimu. 
Wahitimu wa Kidato cha Nne, wakiwa katika mahafali yao hayo ya 19 ya shule hiyo leo, jijini Dar es Salaam, wakisubiri kukabidhiwa vyeti vyao vya kuhitimu.
Baadhi ya wahitimu wa Kidato cha Nne, wakiwa katika mahafali yao hayo ya 19 ya shule hiyo leo, jijini Dar es Salaam, wakisubiri kukabidhiwa vyeti vyao vya kuhitimu.
Wazazi, walezi, ndugu pamoja na wageni mbalimbali, wakiwa tayari pamoja na maua yao kwa ajili ya kuwavalisha watoto na jamaa zao waliokuwa wakihitimu katika mahafali hayo, shuleni hapo leo.
Wazazi, walezi, ndugu pamoja na wageni mbalimbali, wakiwa tayari pamoja na maua yao kwa ajili ya kuwavalisha watoto na jamaa zao waliokuwa wakihitimu katika mahafali hayo, shuleni hapo leo.

Mhitimu wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari Airwing, Ukonga, Edgar Edwin, akipokea cheti chake cha kuhitimu kutoka kwa mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Operesheni na Vita wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Brigedia Zoma Kongo.
Mhitimu wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari Airwing, Ukonga, Emmanuel Dominick akipokea cheti chake cha kuhitimu kutoka kwa mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Operesheni na Vita wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Brigedia Zoma Kongo.
Mhitimu wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari Airwing, Ukonga, Erick Geofrey akipokea cheti chake cha kuhitimu kutoka kwa mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Operesheni na Vita wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Brigedia Zoma Kongo.

Baadhi ya wahitimu wa Kidato cha Nne, wakipiga picha ya pamoja na mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Operesheni na Vita wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Brigedia Zoma (wanne kulia), uongozi wa shule pamoja na walimu wa shule hiyo, wakati wa mahafali yao hayo ya 19 ya shule hiyo leo, jijini Dar es Salaam, wakisubiri kukabidhiwa vyeti vyao vya kuhitimu.
Wahitimu wa Kidato cha Nne, wakipiga picha ya pamoja na mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Operesheni na Vita wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Brigedia Zoma (wanne kulia), uongozi wa shule pamoja na walimu wa shule hiyo, wakati wa mahafali yao hayo ya 19 ya shule hiyo leo, jijini Dar es Salaam, wakisubiri kukabidhiwa vyeti vyao vya kuhitimu.
Wahitimu wa Kidato cha Nne, wakicheza muziki wa Kwaito, wakati wa mahafali yao hayo ya 19 ya shule hiyo leo, jijini Dar es Salaam, baada ya kukabidhiwa vyeti vyao vya kuhitimu. 
Wahitimu wa Kidato cha Nne, wakicheza muziki wa Kwaito, wakati wa mahafali yao hayo ya 19 ya shule hiyo leo.
Wahitimu wa Kidato cha Nne, wakicheza muziki wa Kwaito, katika mahafali yao hayo ya 19, baada ya kukabidhiwa vyeti vyao vya kuhitimu.
Wahitimu wa Kidato cha Nne, wakiurudi muziki wa Kwaito, wakati wa mahafali yao hayo ya 19 ya shule hiyo leo, jijini Dar es Salaam, baada ya kukabidhiwa vyeti vyao vya kuhitimu.
Wahitimu wa Kidato cha Nne, wakijirusha kwa kucheza muziki wa Kwaito, wakati wa mahafali yao hayo ya 19 ya shule hiyo leo, jijini Dar es Salaam, baada ya kukabidhiwa vyeti vyao vya kuhitimu.

No comments:

Post a Comment