TAASISI
ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika), jana ilikutana na waandishi wa
habari na wadau tofauti katika kuadhimisha Siku ya haki ya kupata
taarifa Kimataifa amabayo huadhimishwa kila mwaka Septemba 28.09.2014
katika ofisi zao zilizopo Kinondoni Mkwajuni, jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi
ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege (kushoto)
akiwakaribisha wageni waalikwa na waandishi wa habari waliofika kweye
mkutano wao uliofanyika Jana kwenye ofisi za MISA Tanzania zilizopo
jijini Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi msaidi wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Andrew.
Mkurugenzi msaidi wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi
ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Andrew Marawiti (kulia)
akizungumza jambo mbele ya waandishi wa habari(hawapo pichani) kwenye
siku ya kimataifa ya haki za kupata taarifa zinazoadhmishwa septemba 28
kwa kila mwaka.
Mkurugenzi wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi
ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege (kushoto)
akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wagene waalikwa (hawapo
pichani) kwenye siku ya kimataifa ya haki za kupata taarifa
zinazoadhmishwa septemba 28 kwa kila mwaka. kwenye ofisi za MISA
Tanzania zilizopo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi
ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege (kushoto)
akikata utepe wakati wa uzinduzi rasmi wa chapicho la ripoti ya matumizi
bora ya utoaji wa habari katika sekta za umma hapa nchini.
Mkurugenzi wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi
ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege akiwaonesha
waandishi wa habari pamoja na wageni waalikwa kitabu cha ripoti ya haki
ya kupata taarifa halali katika sekta za umma.
Mkurugenzi wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi
ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege akitangaza
taasisi iliyochukua tuzo ya Kofuli la Dhahabu kwa kubana sana taarifa
kwa mwaka 2014.
Mkurugenzi wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi
ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege akionesha
tuzo ya Kufuli la Dhahabu kwa kubana sana taarifa kwa mwaka 2014
iliyokwenda kwenye Idara ya Mahakama.
Mkurugenzi wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi
ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege akitangaza
taasisi iliyochukua tuzo ya Ufunguo wa Dhahabu kwa mwaka 2014 kwa kutoa
taarifa bila kificho kwa mwaka 2014.
Mkurugenzi wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi
ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege (kulia)
akimkabidhi tuzo ya Ufunguo wa Dhahabu Kaimu Mkurugenzi wa Shighuli za
Takiwimu ofisi ya Taifa ya Takimu Bi. Aldegunda Komba(kushoto) kwenye
maadhimisho ya siku ya kimataifa ya haki ya kupata taarifa jana jijini
Dar es Salaam.
Kaimu
Mkurugenzi wa Shighuli za Takiwimu ofisi ya Taifa ya Takimu Bi.
Aldegunda Komba akionesha tuzo hiyo kwa waandishi wa habari pamoja na
wageni waalikwa waliofika kwenye ofisi za Misa-Tanzania-Media Institute
of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) zilizopo eneo la Mkwajuni, Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Kaimu
Mkurugenzi wa Shighuli za Takiwimu ofisi ya Taifa ya Takimu Bi.
Aldegunda Komba akizungumza na vyombo vya habari baada ya taasisi
yaokutwaa tuzo ya Ufungu wa Dhahabu.
Ofisa utafiti na maelezo wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Sengiyumva Gasirigwa
akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kwenye siku ya kimataifa ya
haki ya kupata taarifa ambayo uadhimishwa septemba 28 kwa kila mwaka.
Baadhi
ya wageni waalikwa pamoja na waandhishi wa habari wakifuatilia shughuli
zima iliyokuwa inaendelea kwenye ofisi za Misa-Tanzania-Media Institute
of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) zilizopo jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment