TANGAZO

Saturday, September 13, 2014

Semina ya Wabunge wanawake kuhusu mikakati ya Serikali ya kufanikisha uwakilishi sawa wa 50 kwa 50 kwa wanawake kwenye vyombo vya maamuzi Tanzania yafanyika mjini Dodoma

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamaii Mhe. Magareth Sitta (Mb) akifungua semina ya Wabunge jana mjini Dodoma yenye lengo la kujenga uwezo kwa wanawake kushika nafasi za Uongozi katika vyombo vya maamuzi, Utatuzi wa migogoro pamoja na Maswala ya Uchaguzi. Semina  hiyo  iliandaliwa na Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Matifa (UNDP) kupitia mradi wa LSP, mjini Dodoma jana. (Picha zote na Owen Mwandumbya wa Bunge)
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Pindi Chana akitoa mada kuhusu mikakati ya Serikali ya kufanikisha uwakilishi sawa wa 50 kwa 50 kwa wanawake kwenye vyombo vya maamuzi Tanzania wakati wa semina iliyofanyika mkoani Dodoma jana. Semina hiyo  iliandaliwa na Ofisi Bunge kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Matifa (UNDP) kupitia mradi wa LSP kujadili uwezeshwaji wa Wanawake kushika nafasi za Uongozi, Utatuzi wa migogoro pamoja na Maswala ya Uchaguzi.

Wabunge wanawake wakiwa kwenye semina yao hiyo.
Wabunge wanawake wakiwa kwenye semina yao inayohusu mikakati ya Serikali ya kufanikisha uwakilishi sawa wa 50 kwa 50 kwa wanawake kwenye vyombo vya maamuzi Tanzania, mjini Dodoma jana.

No comments:

Post a Comment