TANGAZO

Monday, September 22, 2014

Chama cha Watanzania waliosoma Australia (TAAA) chazinduliwa jijini Dar es Salaam

Katibu Msaidizi wa Ubalozi wa Australia nchini Tanzania, KatherineParkinson, akizungumza wakati wa mkutano wa uzinduzi wa wa Chama cha Wanafunzi wa Tanzania Waliosoma nchini Australia, cha Tanzania Australia Alumni Association (TAAA), Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wananfunzi wa Tanzania waliosoma nchini Australia, wakiwa na mgeni rasmi katika uzinduzi wa chama hicho, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Rasilimaliwatu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Roxana Kijazi (kushoto), wakifuatilia hotuba mbalimbali zilizokuwa zikitolewa kwenye mkutano huo leo.
Katibu Msaidizi wa Ubalozi wa Australia nchini Tanzania, KatherineParkinson, akizungumza wakati wa mkutano wa uzinduzi wa wa Chama cha Wanafunzi wa Tanzania Waliosoma nchini Australia, cha Tanzania Australia Alumni Association (TAAA), Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo, wakimsikiliza mkutano wao wa uzinduzi wa mkutano huo.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo, wakimsikiliza Katibu Msaidizi wa Ubalozi wa Australia nchini Tanzania, Katherine Parkinson, wakati wa uzinduzi wa chama hicho, Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Rasilimaliwatu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Roxana Kijazi, akizungumza wakati alipokuwa akikizindua Chama cha wanafunzi waliosoma nchini Australia, cha Tanzania Australia Alumni Association (TAAA), Dar es Salaam leo.

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Rasilimaliwatu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Roxana Kijazi, akizungumza wakati alipokuwa akikizindua chama hicho. 
Mwenyekiti wa muda wa Chama cha wanafunzi waliosoma nchini Australia, cha Tanzania Australia Alumni Association (TAAA), Dk. Francis Mhimbira, akizungumza wakati wa uzinduzi wa chama hicho, Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Rasilimaliwatu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Roxana Kijazi, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukizindua chama hicho jijini leo.
Mwenyekiti wa muda wa Chama cha wanafunzi waliosoma nchini Australia, cha Tanzania Australia Alumni Association (TAAA), Dk. Francis Mhimbira, akizungumza na waandishi wa habari, mara baada ya kuzinduliwa chama chao hicho.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Rasilimaliwatu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Roxana Kijazi, akizungumza  na waandishi wa habari, mara baada ya kukizindua chama hicho, Dar es Salaam leo.

Na Edith Msuya
SEKTA ya Utumishi wa Umma jana imewakutanisha wanafunzi waliosoma nchini Ausralia kwa lengo la  kuwaleta pamoja na kujadili mambo mbalimbali ya kimaendeleo.

Akizungumza leo, jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Maendeleo na Raslimali Watu kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Roxana Kijazi alisema kuanzia mwaka 2000 hadi 2014 Tanzania imefanikiwa kupeleka wanafunzi 330 nchini ustralia.

Alisema wanafunzi hao wanaokwenda kusoma nchini Australia huwa wanasoma masomo mbalimbali yakiwemo ya kilimo biashara, afya maliasili, uchumi, elimu na sheria.

"Katika hili ni lazima wanafunzi wale waliosoma katika nchini Australia ni vizuri wangeungana umoja ambao unaweza kuleta maendeleo ya nchi na si kukaa na kujinufaisha wenyewe tu,"alisema.
Naye,Mwenyekiti wa Umoja wa wanafunzi wa waliosoma nchini Australia{TAAA}Francis Mhimbira alisema sisi tuna mchango mkubwa katika kuendeleza taifa letu.
"Sisi kama wanafunzi tuliosoma katika nchi hiyo haijalishi hata kama umesoma muda mfupi na hata mrefu ni lazima kia mwaka tuwe tunnakaa kwa pamoja,"alisema.

No comments:

Post a Comment