Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Mhe.
Anna Abdallah akifungua Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na
Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu
masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa
Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Katibu wa Umoja wa Wanawake Wabunge Tanzania (TWPG), Mhe.
Angellah Kairuki (MB) akizungumzia masuala mbalimbali ya kijinsia katika Semina
iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba
kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba
iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini
Dodoma.
Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Bi. Usu Mallya akitoa
mada kuhusiana na suala la kijinsia katika Katiba, wakati wa Semina
iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba
kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika
leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Profesa Ruth Meena
akitoa mada juu ya masuala muhimu ya Jinsia ya kuzingatiwa katika Katiba Mpya
wakati wa Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa
Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia
na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius
Msekwa Mjini Dodoma.
Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Bi. Stella Gailos
akitoa mada akitoa mada juu ya masuala muhimu ya Jinsia ya kuzingatiwa katika
Katiba Mpya wakati wa Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na
Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu
masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa
Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia
Suluhu Hassan (kulia) akifafanua juu ya masuala mbalimbali ya kijinsia wakati Semina
iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba
kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba
iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini
Dodoma.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Sophia
Simba akichangia mada wakati Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana
na Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu
masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa
Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Hamad Rashid
akifafanua jambo wakati Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na
Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu
masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa
Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Fami Dovutwa
akifafanua jambo wakati Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na
Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu
masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa
Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba wa Kundi la 201 upande wa
Wakulima, Mhe. Agnes Senyagwa akizungumzia kuhusu utoaji elimu kwaajili ya
kuongeza nafasi za uwakilishi wa wanawake katika ngazi mbalimbali maeneo ya
vijijini, wakati Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao
wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya
Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa
Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Faustina Urassa
akifafanua jambo wakati Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na
Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu
masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa
Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia Semina
iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba
kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba
iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini
Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia Semina
iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba
kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba
iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini
Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia Semina
iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba
kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba
iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini
Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia Semina
iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba
kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba
iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini
Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia Semina
iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba
kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba
iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini
Dodoma.
Viongozi wa Meza Kuu wakiiimba kwa pamoja wimbo wa
kuhamasisha wanawake kupigania haki zao wakati wa Semina iliyoandaliwa na Umoja
huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa
Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti,
2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Wajumbe wakiiimba kwa pamoja wimbo wa kuhamasisha wanawake
kupigania haki zao wakati wa Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana
na Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu
masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa
Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa
(MB) akitoa neno la sukrani kwa watoa mada na wajumbe wa Semina iliyoandaliwa
na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya
Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30
Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Mhe.
Anna Abdallah (kulia) akifanya mahojiano na Mwandishi wa Habari wa Shirika la
Habari Tanzania (TBC) mara baada ya kumalizika kwa na Semina iliyoandaliwa na
Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe
wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti,
2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.

No comments:
Post a Comment