Mbunge wa Temeke ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC)
ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu akiendesha kikao cha Wenyeviti wa mitaa katika
jimbo la Temeke, kwenye Ukumbi wa Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam, kwa
lengo la kufanya tathmini ya utekelezaji wa Ilani ya CCM katika jimbo
hilo. Katika kikao hicho walihudhuria pia viongozi wa Chama wa ngazi za
juu katika mitaa hiyo. Kutoka kulia ni Naibu Meya wa Temeke, Juma Mkenga
na Mwenyekiti wa jimbo Ahmad Mnamala. (Picha zote kwa hisani ya Richard Mwaikenda wa Kamanda wa Matukio Blog)
Wajumbe wakiwa ukumbini kwenye kikao hicho
Naibu Meya wa Manispaa ya Temeke, Juma Mkenga (kulia) akizungumza
wakati wa kikao hicho cha kutathmini na kujadili utekelezaji wa ilani ya
CCM jimbo la Temeke.Kushoto ni Katibu wa Jimbo la Temeke, Kasim Kiame na Mbunge wa Jimbo hilo, Abbas Mtemvu.
Wajumbe wakiwa ukumbini kwenye kikao hichoWajumbe wakiwa ukumbini kwenye kikao hicho

No comments:
Post a Comment