TANGAZO

Tuesday, August 19, 2014

Jeshi la Wananchi (JWTZ) lasherehekea miaka 50 tokea kuanzishwa kwake

*Latoa msaada kwa yatima

Mkurugenzi  wa Ustawi wa Jamii wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania  (JWTZ), Brigedia Jenerali Sarah Wambali, akisoma risala ya kumkamribisha Mgeni rasmi katika hafla ya kusherekea miaka 50 ya Jeshi hilo leo jijini Dar es Salaam, ambapo wanatarajia  kutoa misaada ya vyakula na vifaaa mbalimbali  kwa vituo vya kulelea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu. 

Mkurugenzi wa Jinsia  kutoka Wizara ya Maendeleao ya Jamii ,Jinsia na Watoto Meshack Ndasikoi ambaye ni mgeni rasmi katika  hafla  ya kusherekea miaka 50 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania leo jijini Dar es Salaam  na kuzindua wiki ya kusaidia jamii kwa kutoa msaada wa vyakula kwa vituo vya kulelea watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu.
Mkurugenzi wa Jinsia kutoka Wizara ya Maendeleao ya Jamii, Jinsia na Watoto Meshack Ndasikoi  (kushoto), akikabidhi msaada wa chumvi na baadhi  vyakula kwa  watoto wa kituo cha Nyumba ya Furaha na Amani cha Mburahati ikiwa ni ishara ya kufungua rasmi wiki ya huduma kwa Jamii inayoendeshwa na Jeshi la Wananchi  wa Tanzania  leo jijini Dar es Salaam viwanja vya Lugalo, kulia ni Mkuu wa Utumishi wa Jeshi hilo Meja Jenerali Vincent Mritaba na Mkurugenzi wa Ustawi wa Jamii  Brigedia Jenerali Sarah Wambali.
Mkurugenzi  wa Ustawi wa Jamii wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Brigedia Jenerali Sarah Wambali akisalimiana na watoto wa kituo cha Nyumba ya Furaha na Amani cha Mburahati  baada ya kuwakabidhi msaada ya vyakula katikati ni mgeni rasmi Mkurugenzi wa Jinsia  kutoka Wizara ya Maendeleao ya Jamii, Jinsia na Watoto Meshack Ndasikoi na  kulia ni Mkuu wa Utumishi wa Jeshi hilo Meja Jenerali Vincent Mritaba leo jijini Dar es Salaam.
Maofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania pamoja na maafisa Jamii na  wananchi wakifuatilia kwa makini risala ya mgeni rasmi Mkurugenzi wa Jinsia  kutoka Wizara ya Maendeleao ya Jamii ,Jinsia na Watoto Meshack Ndasikoi(hayupo katika picha), wakati wa hafla ya kufungua wiki ya kusaidia jamii ikiwa ni maadhimisho ya miaka 50 ya Jeshi laWananchi wa Tanzania leo jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Jinsia  kutoka Wizara ya Maendeleao ya Jamii ,Jinsia na Watoto Meshack Ndasikoi(katikati) ambaye ni mgeni ramsi akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Jeshi katika  hafla ya kuazimisha miaka 50 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania na kuzindua wiki ya jamii pamoja na kutoa msaada wa vyakula kwa vituo vya kulelea watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu, leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Jinsia  kutoka Wizara ya Maendeleao ya Jamii, Jinsia na Watoto Meshack Ndasikoi(katikati) ambaye ni mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Jamii katika hafla ya kuazimisha miaka 50 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania na kuzindua wiki ya jamii  pamoja na kutoa msaada wa vyakula kwa vituo vya kulelea watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu, leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Jinsia  kutoka Wizara ya Maendeleao ya Jamii, Jinsia na Watoto Meshack Ndasikoi(katikati) ambaye ni mgeni ramsi akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi na watoto wa Nyumba ya Furaha na Amani cha Mburahati wakati wa hafla ya kuazimisha miaka 50 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania na kuzindua wiki ya jamii  pamoja na kutoa msaada wa vyakula kwa vituo vya kulelea  watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu, leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Lorietha Laurence Maelezo)

No comments:

Post a Comment