TANGAZO


Tuesday, August 19, 2014

ATC yasaini mkataba wa ununuzi wa ndege 4 aina ya Q400 kutoka Kampuni ya Bombardier ya Canada

Mkurugenzi wa Shirika la Ndege Tanzania (ATC), Capt. Milton Lazaro, akizungumza katika hafla ya kusaini makubaliano ya ununuzi wa ndege 4 za abiria aina ya Q400 kutoka Kampuni ya Bombardier ya Canada, zenye thamani ya dola milioni 120, Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Mauzo wa ndege za kibiashara wa Kampuni hiyo, barani Afrika, Pardeep Sandhu. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mkurugenzi wa Shirika la Ndege Tanzania (ATC), Capt. Milton Lazaro, akizungumza katika hafla hiyo ya kusaini makubaliano ya ununuzi wa ndege 4 za abiria aina ya Q400 kutoka Kampuni ya Bombardier ya Canada, Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Mauzo wa ndege za kibiashara wa Kampuni hiyo, barani Afrika, Pardeep Sandhu.
Mkurugenzi wa Shirika la Ndege Tanzania (ATC), Capt. Milton Lazaro, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kusaini makubaliano ya ununuzi wa ndege 4 za abiria aina ya Q400 kutoka Kampuni ya Bombardier ya Canada, leo jijini Dar es Salaam. Wapili ni Mkurugenzi wa Mauzo wa ndege za kibiashara wa Kampuni hiyo, barani Afrika, Pardeep Sandhu na wengine ni Baadhi ya Wakurugenzi wa ATC.
Mkurugenzi wa Shirika la Ndege Tanzania (ATC), Capt. Milton Lazaro, akizungumza wakati wa kusaini makubaliano ya ununuzi wa ndege 4 za abiria aina ya Q400 kutoka Kampuni ya Bombardier ya Canada, jijini Dar es Salaam leo. Wapili ni Mkurugenzi wa Mauzo wa ndege za kibiashara wa Kampuni hiyo, barani Afrika, Pardeep Sandhu na wengine ni kulia ni baadhi ya Wakurugenzi wa ATC. Wengine ni Mkurugenzi wa Ufundi wa ATC, Patrick Itule, Mkurugenzi wa Viwango na Usalama, Johnson Mfinanga na Meneja wa Fedha, Witness Mmbaga. 
Mkurugenzi wa Shirika la Ndege Tanzania (ATC), Capt. Milton Lazaro, akisaini makubaliano ya ununuzi wa ndege 4 za abiria aina ya Q400 kutoka Kampuni ya Bombardier ya Canada, zenye thamani ya dola milioni 120, Dar es Salaam leo. Anayeshuhudia kulia ni Mkurugenzi wa Mauzo wa ndege za kibiashara wa Kampuni hiyo, barani Afrika, Pardeep Sandhu.
Mkurugenzi wa Shirika la Ndege Tanzania (ATC), Capt. Milton Lazaro, akisaini makubaliano ya ununuzi wa ndege 4 za abiria aina ya Q400 kutoka Kampuni ya Bombardier ya Canada, zenye thamani ya dola milioni 120, Dar es Salaam leo. Anayeshuhudia kulia ni Mkurugenzi wa Mauzo wa ndege za kibiashara wa Kampuni hiyo, barani Afrika, Pardeep Sandhu.
Mkurugenzi wa Shirika la Ndege Tanzania (ATC), Capt. Milton Lazaro, akisaini makubaliano ya ununuzi wa ndege 4 za abiria aina ya Q400 kutoka Kampuni ya Bombardier ya Canada, zenye thamani ya dola milioni 120, Dar es Salaam leo. Wapili ni Mkurugenzi wa Mauzo wa ndege za kibiashara wa Kampuni hiyo, barani Afrika, Pardeep Sandhu na wengine ni Mkurugenzi wa Ufundi wa ATC, Patrick Itule, Mkurugenzi wa Viwango na Usalama, Johnson Mfinanga na Meneja wa Fedha, Witness Mmbaga. 
Mkurugenzi wa Shirika la Ndege Tanzania (ATC), Capt. Milton Lazaro (kushoto) na Mkurugenzi wa Mauzo wa ndege za kibiashara wa Kampuni ya kutengeneza ndege ya Bombardier ya Canada, barani Afrika, Pardeep Sandhu, wakikabidhiana mkataba wa makubaliano ya ununuzi wa ndege 4 aina ya Q400, kutoka  kampuni hiyo, baada ya kuusaini, Dar es Salaam leo. Ndege hizo zitaligharimu ATC jumla ya dola milioni 120.
Mkurugenzi wa Mauzo wa ndege za kibiashara wa Kampuni hiyo, barani Afrika, Pardeep Sandhu, akizungumza wakati wa hafla hiyo leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Shirika la Ndege Tanzania (ATC), Capt. Milton Lazaro
Mkurugenzi wa Shirika la Ndege Tanzania (ATC), Capt. Milton Lazaro, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa hafla ya kusaini makubaliano ya ununuzi wa ndege 4 za abiria aina ya Q400 kutoka Kampuni ya Bombardier ya Canada, zenye thamani ya dola milioni 120, Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Mauzo wa ndege za kibiashara wa Kampuni hiyo, barani Afrika, Pardeep Sandhu,
Mkurugenzi wa Shirika la Ndege Tanzania (ATC), Capt. Milton Lazaro, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa hafla ya kusaini makubaliano ya ununuzi wa ndege hizo 4 za abiria aina ya Q400 kutoka Kampuni ya Bombardier ya Canada, zenye thamani ya dola milioni 120, Dar es Salaam leo. Kulia ni 
Mkurugenzi wa Mauzo wa ndege za kibiashara wa Kampuni hiyo, barani Afrika, Pardeep Sandhu,
Mkurugenzi wa Shirika la Ndege Tanzania (ATC), Capt. Milton Lazaro, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa hafla hiyo, jijini leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Mauzo wa ndege za kibiashara wa Kampuni hiyo, barani Afrika, Pardeep Sandhu,
Mfano wa ndege ya abiria aina ya Q400 ambao zitanunuliwa na Shirika la ndege la Tanzania (ATC), kutoka Kampuni ya Bombardier ya Canada, zenye thamani ya dola milioni 120, Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Mauzo wa ndege za kibiashara wa Kampuni hiyo, barani Afrika, Pardeep Sandhu,
Bibi Lilian wa Kitengo cha Masoko cha Kampuni hiyo, akiwa karibu na mfano wa ndege hizo, zitakazo nunuliwa na ATC, ili kupunguza misongamano ya abiria.
Hii ni mfano wa ndege hizo, zitakazo nunuliwa na ATC, ili kupunguza misongamano ya abiria nchini.

No comments:

Post a Comment