TANGAZO

Tuesday, July 1, 2014

Picha za matuko mbalimbali za Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba, Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE), Jacqueline Maleko, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ufunguzi wa maonesho ya Biashara ya Kimataifa Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam leo. Mgeni rasmi wa ufungaji huo ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE), Jacqueline Maleko, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ufunguzi wa maonesho ya Biashara ya Kimataifa Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam leo. Mgeni rasmi wa ufungaji huo ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd.

Mmoja wa wendesha mtandao (website) wa Tupomoja kutoka Zanzibar, Khamis Haji Mzee (mwenye kompyuta), akiwapatia maelezo kuhusu mtandao huo wa habari mbalimbali pamoja na matangazo ya kibiashara, wananchi waliotembelea banda la Zanzibar katika maonesho hayo, Viwanja vya Mwalimu Nyerere, Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam leo. Kushoto ni mmoja wa waendeshaji mtandao huo, Kristin Dorl.

Baadhi ya wafanyakazi wa Banda la Asali, wakipanga bidhaa hiyo kwenye meza wakati wa uzinduzi wa Onja asali uliofanywa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE), Jacqueline Maleko, kwenye banda hilo leo.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE), Jacqueline Maleko, akimlisha asali Mwenyekiti wa Baraza la Asali Tanzania, Linus Gedi, wakati alipozindua Onja asali kwenye banda la Asali katika maonesho ya Biashara ya Kimataifa, Viwanja vya maonesho vya Mwalimu Nyerere, Barabara ya Kilwa Dar es Salaam leo. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Taifa wa Usambazaji vifaa vya kufugia nyuki (NBS), Kaizirege Camara.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Taifa wa Usambazaji vifaa vya kufugia nyuki (NBS), Kaizirege Camara, akizungumza katika uzinduzi huo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE), Jacqueline Maleko, akizungumza mara baada ya kuzindua uonjaji asali huo.

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Smiles, wakipata maelezo kutoka kwa mtangazaji wa Radi One na ITV, Maulidi Kambaya kuhusu kurekodi na kuediti vipindi vya radio na tv, wakati walipofika kwenye banda la Kampuni ya IPP Media kwenye maonesho hayo jijini leo.

No comments:

Post a Comment