TANGAZO


Monday, June 16, 2014

Washiriki wa Kinyanganyiro cha Mrembo wa Redd's Miss Chang'ombe 2014


 Mrembo Miriam Elias
 Mrembo Pendo Msacky
 Mrembo Neema Abbas
 Mrembo Pauline Nkini
 Mrembo Clara Shayo
 Mrembo Evalyn Andrew
 Mrembo Sitti Abbas
 Mrembo Lilian Loth
 Mrembo Catherine Alex
 Mrembo Patricia Pontian
Mratibu na mwalimu wa washiriki wa shindano la kumsaka Redd's Miss Chang'ombe, Norietha Boniface (Miss Changombe 2013), akizungumza kuhusu mazoezi ya warembo wa shindano hilo (nyuma), Dar es Salaam jana. Kulia ni msanii wa muziki wa kizazi kipya, Moo Music, akiimba moja ya wimbo wake, unaoitwa 'Basi nenda', akiwa ni mmoja wa wasanii wa watakaotumbuiza wakati wa kinyang'anyiro cha kumpata mrembo huyo.
Mwandaaji wa shindano la kumsaka Redd's Miss Chang'ombe 2014, Tom Chilala (kulia), akizungumza na waandishi wa habari, wakati wa kuwatambulisha warembo wa kinyanganyiro hicho, Dar es Salaam jana. 
Mwandaaji wa shindano la kumsaka Redd's Miss Chang'ombe 2014, Tom Chilala (kulia), akizungumza wakati wa kuwatambulisha warembo wa kinyanganyiro hicho, Dar es Salaam jana. 
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Moo Music, akiimba moja ya wimbo wake, unaoitwa 'Basi nenda', akiwa ni mmoja wa wasanii watakaotumbuiza wakati wa kinyang'anyiro cha kumpata mrembo huyo, wakati wa mkutano huo, uliofanyika jana, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mratibu na mwalimu wa washiriki wa shindano la kumsaka Redd's Miss Chang'ombe, Norietha Boniface (Miss Changombe 2013). (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment