TANGAZO


Wednesday, June 11, 2014

Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola aomba kura bungeni kwa kuvaa bango

Mbunge wa Mwibara, Kange Lugola akiomba kura za kuwania nafasi ya Mjumbe  wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo, Juni 11, 2014. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Mwibara akivua bango alilokuwa amelivaa wakati akiomba kura kwa Wabunge, za kuwania kuteuliwa kuwa  Mjumbe wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge, mjini Dodoma leo, Juni11, 2014. Aliamriwa kuvua bango hilo na Spika wa Bunge Anne Makinda.
Mbunge wa Mwibara akivua bango alilokuwa amelivaa baada ya kuamriwa kuvua bango hilo na Spika wa Bunge Anne Makinda.
Mbunge wa Mwibara akivua bango alilokuwa amelivaa wakati akiomba kura kwa Wabunge, za kuwania kuteuliwa kuwa  Mjumbe wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge, mjini Dodoma leo, Juni11, 2014, baada ya kuamriwa kuvua bango hilo na Spika wa Bunge Anne Makinda.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mwanza Mjijini, Ezekiel Wenje, Bungeni mjini Dodoma leo, Juni 11, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimweleza jambo Mbunge wa Mwanza Mjijini, Ezekiel Wenje, Bungeni mjini Dodoma leo, Juni 11, 2014, wakati wa kikao cha bunge hilo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza jambo na Mbunge wa Mwanza Mjijini, Ezekiel Wenje, Bungeni mjini Dodoma leo, Juni 11, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza jambo na Mbunge wa Mwanza Mjijini, Ezekiel Wenje, Bungeni mjini Dodoma leo, Juni 11, 2014.

No comments:

Post a Comment