Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Mhe. Jackosn Msome (katikati), akifungua
semina kuhusu Hifadhi ya Jamii kwa
Uongozi na Watendaji wa Mkoa wa Mara (hawapo pichani), iliyoandaliwa na Mamlaka ya Usimamizi na
Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), mjini humo leo. Kushoto kwake ni Kaimu RAS wa Mara Bw. Buhacha Kichinda na Murugenzi wa Sheria wa
Mamlaka ya SSRA, Bw. Ngabo Ibrahim. (Picha zote na Mpigapicha wetu)
Baadhi yawashiriki wa Semina kuhusu Hifadhi
ya Jamii, wakitoa maoni yao katika semina hiyo iliyoandaliwa na Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), mjini humo leo.Viongozi na Watendaji wa Mkoa wa Mara wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Sheria wa SSRA, Bw. Ngabo Ibrahimu (hayupo pichani), wakati akiwasilisha mada kuhusu Hifadhi ya Jamii, Mkoani Mara leo.
Mkurugenzi wa Sheria wa SSRA, Bw. Ngabo Ibrahim akitoa mada wakati wa semina kuhusu Hifadhi ya Jamaii kwa viongozi na watendaji wa Mkoa wa Mara, iliyofanyika katika ukumbi wa Mkoa wa Mara leo.
Mkurugenzi wa Sheria wa SSRA, Bw. Ngabo Ibrahim, akitoa
mada wakati wa semina kuhusu Hifadhi ya Jamaii kwa viongozi na watendaji wa Mkoa wa
Mara leo. Iliyofanyika katika ukumbi wa Mkoa wa Mara.
No comments:
Post a Comment