Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya
mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya
Vietnam, Mhe. Nguyen Phuong Nga, wakati waziri huyo, alipomtermbelea leo, Ikulu
jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Freddy Maro)
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya
Vietnam Mhe. Nguyen Phuong Nga, wakati waziri huyo, alipomtembelea leo Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam Mhe. Nguyen Phuong Nga, wakati waziri huyo, alipomtembelea leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Mhe. Nguyen Phuong Nga, wakati waziri huyo, alipomtembelea leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment