TANGAZO


Saturday, May 10, 2014

Madhara ya mvua za Masika, Chakechake kisiwani Pemba

Wananchi mbali mbali wa Shehia ya Pondeani wilaya ya Chake Chake, wakiangalia gari zinazopita kwa tabu katika daraja linalounganisha Chake Chake na Wesha, baada ya kufurika maji kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha kisiwani Pemba. (Picha zote na Abdi Suleiman, PEMBA)
Wananchi mbali mbali wa Shehia ya Pondeani wilaya ya Chake Chake, wakiangalia gari zinazopita kwa tabu katika daraja linalounganisha Chake Chake na Wesha, baada ya kufurika maji kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha kisiwani Pemba.
Wananchi wa shehia ya Wesha, wakiwa wamekunja suruali zao na kukamata viatu mkononi, wakati wakivuka katika daraja la Pondeani, linalounganisha Chake Chake na Wesha, baada ya kufurika maji kufuatia mvua zinazoendela kunyesha kisiwani Pemba.
  
Mvua zinazoendelea kunyesha kisiwani Pemba, tayari zimeanza kuleta athari kwa wananchi na vipando vyao, Pichani maji ya mvuo kutoka maeneo mbali ya mji wa Chake Chake, yakiwa yamevamia maeneo ya wananchi.

No comments:

Post a Comment