TANGAZO


Wednesday, May 28, 2014

Jubilee Insurance yatoa tuzo kwa Mawakala wake nchini

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Bima ya Jubilee Tanzania Bw. George Alande (kushoto), akikabidhi zawadi kwa  Mkurugenzi wa Kampuni ya Bima ya Venture, Bw. Alex Lemnge (kulia), aliyeibuka mshindi wa kwanza katika hafla ya utoaji tuzo kwa mawakala wanaofanyakazi kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Jubilee. Hafla hiyo, ilifanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Bw. Iddy Hassan Mashanga kutoka Kampuni ya Bima ya Light Peace, akipokea zawadi ya printer kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaj wa Kampuni ya Bima ya Jubilee Tanzania, Bw. George Allande wakati wa hafla ya utoaji tuzo kwa mawakala wanaofanya kazi kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Jubilee Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki, jijini Dar es Salaam.(Picha zote na mpigapicha wetu)

No comments:

Post a Comment