TANGAZO


Monday, April 28, 2014

Picha za Tamasha la michezo na nyama choma ,la Watanzania nchini Marekani

Mh:Mwigulu Nchemba na Balozi Libereta Mulamula Wakielekea Kufungua Tamasha la Michezo,Mpira wa Miguu na Michezo Mingine hapa Washington.

Mtanzania huyu hakufahamika Jina akielekea Kwenye Sherehe za Nyama Choma na Michezo Mwendelezo wa Miaka 50 ya Muungano Wa Tanzania.
 Mh:Mwigulu Nchemba akibadilishana Mawazo na Balozi Mulamula wakati wa  Michezo na Nyama Choma zinaendelea Kufana hapa Washington DC.
Watoto Wakiburudika katika Mchezo wa Bembea walipofika Kwenye Mkusanyiko wa Watanzania Kwenye tamasha la Michezo na Nyama Choma hapa Washington DC.
 Nyama Choma Imepamba Moto,Wadau wakibeba Sufuria Kuelekea eneo la tukio.Nyama inaendelea Kuchomwa na Sausage.
Nyama choma ya Bure na Vinywaji ni Buree.

Watanzania wakiendelea Kutafuna Nyama kwenye Tamasha la 

Michezo na Nyama Choma hapa Washington DC kwa Watanzania.
 Mwandishi wa Habari Kutoka Kwanza production akifanya Mahojiano na Mh:Mwigulu Nchemba kuhusu Bunge la katiba,Maadhimisho ya Miaka 50 na Tamasha la Nyama Choma kwa Watanzania hapa Washington DC.
Watanzania na Nyama Choma Kama Samaki na Maji,Wadau wakipata Nyama choma.
 Wanafamilia wa Tanzania hapa Washington wakiwasili Kwenye Nyama Choma na Tamasha la Michezo.
Nyama Choma Is All about.Watoto wa Kike pia walikuwa na nafasi ya Kuonesha Uwezo wao kwenye Soka.
 Mh:Mwigulu Nchemba na Balozi Libereta Mulamula Wakielekea Kufungua Tamasha la Michezo,Mpira wa Miguu na Michezo Mingine hapa Washington.
Tanzania Bara Vs Tanzania Visiwani(Kilimanjaro Starz Vs Zanzibar Starz).
 Mh:Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wachezaji wa Kilimanjaro Stars kabla ya Kuanza Mpambano wa Mechi ya Kirafiki ya Kudumisha Muungano Wetu.
Bi.Loveness Mamuya "IRON LADY" Shabiki Mtiifu wa Kilimanjaro Stars akisalimiana na Mh:Mwigulu Nchemba kabla ya Mechi ya Mpira wa Miguu Kuanza.
 Mh:Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wachezaji wa Zanzibar Heroes kabla ya Kuanza kwa Mchezo.
Mh:Mwigulu Nchemba katika picha ya Pamoja na Kikosi cha Zanzibar Heroes.
 Mh:Mwigulu Nchemba katika Picha ya pamoja na timu ya Kilimanjaro Stars hapa Washington DC.
Wimbo wa Taifa Unaimbwa,Wachezaji wameweka Mikono yao Sawa Kuheshimu Wimbo.
 Hili ndilo Kombe atakalo Kabidhiwa Mshindi wa Mechi kali ya Mpira wa Miguu kati ya Kilimanjaro Stars VS Zanzibar Heroes.

No comments:

Post a Comment