TANGAZO


Sunday, April 27, 2014

Katibu wa Nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ushelisheli atembelea Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi jijini Dar es Salaam



Katibu wa Nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ushelisheli, Barry Faure (Kulia) akitia saini kitabu cha wageni wakati alipowasili kwenye Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Prof. Anna Tibaijuka jijini Dar es Salaam jana kwa mazungumzo. Kushoto ni Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania.
Katibu wa Nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ushelisheli, Barry Faure (Kulia) akizungumza na Wazirii wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Prof. Anna Tibaijuka (Kushoto) wakati alipotembelea Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.Pembeni yao ni Maafisa kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Wizara ya Mambo ya Nje.   


Wazirii wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Prof. Anna Tibaijuka akifafanua jambo wakati alipokuwa akizungumza na mgeni wake wa Katibu wa Nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ushelisheli, Barry Faure(hayupo pichani) alipotebela Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.
Wazirii wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Prof. Anna Tibaijuka akizungumza (kushoto) wakati Katibu wa Nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ushelisheli, Barry Faure (kulia) alipotembelea Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.Pembeni yao ni Maafisa kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Wizara ya Mambo ya Nje. (Picha zote na Hussein Makame-MAELEZO)

No comments:

Post a Comment