Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, wakizungumza jambo, wakati wakielekea kwenye ukumbi wa Bunge kwa ajili ya kikao cha kujadili kanuni za 37 na 38 za bunge hilo, mjini Dodoma leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Paulina Gekul, akichangia hoja katika kupitisha kanuni za 37 na 38 za bunge hilo, mjini Dodoma leo.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, John Mnyika, akizungumza katika kuwasilisha makubaliano ya Kamati ndogo ya mashauriano kwa ajili ya kukubaliana kupitisha kanuni za 37 na 38 za bunge hilo, mjini Dodoma leo.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni za bunge hilo, Pandu Ameir Kificho akiwasilisha rasmi na kutoa ufafanuzi kuhusu mapendekezo ya kanuni hizo za 37 na 38 katika maafikiano ya kutumika kwa kura zote za siri na wazi kabla ya kupigiwa kura na wajumbe wa bunge hilo kwa ajili ya kupitishwa rasmi leo.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni za bunge hilo, Pandu Ameir Kificho, akiwasilisha rasmi na kutoa ufafanuzi kuhusu mapendekezo ya kanuni hizo za 37 na 38 katika maafikiano ya kutumika kwa kura zote za siri na wazi, mjini Dodoma leo.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd na Waziri wa Ardhi, Ujenzi na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, wakijadili jambo ndani ya ukumbi wa Bunge wakati Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni za bunge hilo, Pandu Ameir Kificho, akiwasilisha rasmi na kutoa ufafanuzi kuhusu mapendekezo ya kanuni hizo za 37 na 38 katika maafikiano ya kutumika kwa kura zote za siri na wazi, mjini Dodoma leo.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni za bunge hilo, Pandu Ameir Kificho, akiwasilisha rasmi na kutoa ufafanuzi kuhusu mapendekezo ya kanuni hizo za 37 na 38, mjini Dodoma leo.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni za bunge hilo, Pandu Ameir Kificho, akiwasilisha rasmi na kutoa ufafanuzi kuhusu mapendekezo ya kanuni hizo za 37 na 38, mjini Dodoma leo.
Mmoja wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, akipiga kura ya siri katika kuamua ni mfumo gani wa kupiga kura ufuatwe, wa Siri ama wa wazi, wakati walipokuwa wakipitisha Kanuni namba 37 na 38 za bunge hilo, mjini Dodoma leo.
No comments:
Post a Comment