Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii wa India Shri Ghulam Nabi Azad, alipowasili katika Hoteli ya Oberoi, Mjini New Delhi alipofikia Rais na Ujumbe wake wakiwa katika ziara ya Kiserikali nchini India. (Picha zote na Ramadhan Othman, India)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii wa India Shri Ghulam Nabi Azad, alipowasili katika Hoteli ya Oberoi Mjini New Delhi alipofikia Rais na Ujumbe wake wakiwa katika ziara ya kiserikali Nchini India.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na ujumbe wake wakizungumza na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii wa India Shri Ghulam Nabi Azad,na Viongozi aliofuatana nao walipofika katika hoteli ya Oberoi Mjini New Delhi alipofikia Rais na Ujumbe wake wakiwa katika ziara ya kiserikali Nchini India.
Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma Nchini India wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao jana katika ukumbi wa jengo la Hotel ya Ashok Mjini New Delhi, akiwa katika ziara nchini India ya siku tisa katika kukuza uhusiano na ushirikiano katika nyanja mbali mbali za kimaendeleo.
Viongozi wa Ujumbe wa Rais na Vingozi wa Watanzania Nchini India pamoja na wanafunzi wanaosoma kupata fani mbali mbali nchini India,wakimasikiliza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akitoa nasaha zake wakati walipokutana jana katika ukumbi wa Hotel ya Ashok Mjini Nwe Delhi India
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Watanzania Wanafunzi wanaosoma katika vyuo mbali mbali nchini India, jana katika ukumbi wa Hotel the Ashok mjini New Delhi,akiwa katika ziara ya kukuza uhusiano na mashirikiano na nchi hiyo, (kulia wa kwanza) Waziri wa Uwezeshaji,Vijana wanawake na Watoto,Bi Zainab Omar Mohamed,Mama Mwanamwema Shein ,na (kushoto) Balozi wa Tanzania nchini India John W. H. Kijazi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mahadhi Juma Maalim,Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee na Balozi wa Tanzania nchini India John W.H.Kijazi, ni miongoni mwa ujumbe wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ziara nchini India,pichani wakimsikiliza Rais wakati alipozungumza na watanzania katika ukumbi wa The Ashok Hotel Mjini New Delhi jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akiwa picha ya pamoja na Watanzania wanaosoma nchini India baada ya mazungumzo ya pamoja nao jana katika ukumbi wa The Ashok Hotel Mjini New Delhi akiwa katika ziara ya Kiserikali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa picha ya pamoja na Watoto baada ya mazungumzo ya pamoja na Watanzania jana katika ukumbi wa The Ashok Hotel Mjini New Delhi India akiwa katika ziara ya Kiserikali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,(kulia) wakiwa picha ya pamoja na Makamo wa Rais wa India Mohammed Ansari na Mkewe Salma Ansari,walipoalikwa chakula cha usiku jana katika ukumbi wa Hayderabad House, Mjini New Delhi akiwa katika ziara ya Kiserikali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakisalimiana na Viongozi wa Serikali ya India wakati wa hafla ya chakula cha usiku jana kilichoandaliwa na Makamo wa Rais wa India Mohammed Ansari na Mkewe Salma Ansari, katika ukumbi wa Hayderabad House, Mjini New Delhi akiwa katika ziara ya Kiserikali.
Makamo wa Rais wa India Mohammed Ansari na mkewe, Salma Ansari, wakisalimiana na ujumbe wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, alipowatambulisha jana wakati wa chakula cha usiku katika ukumbi wa Hayderabad House, Mjini New Delhi katika ziara ya Kiserikali Nchini India.
No comments:
Post a Comment