TANGAZO


Friday, February 14, 2014

Januari Makamba ahojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM mjini Dodoma

 
Naibu Waziri wa Mawasiliano,  Sayansi na Teknolojia, January Makamba akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa White House mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili, mjini Dodoma leo.
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba akiondoka Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dodoma mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya chama hicho leo.

No comments:

Post a Comment