TANGAZO


Friday, February 28, 2014

Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), waanzishwa mjini Dodoma

VIONGOZI wa Vyama, Taasisi na watu wenye malengo yanayofanana, wameanzisha Umoja utakaosimamia kupatikana Katiba ya Wananchi (UKAWA), mjini Dodoma.

Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari leo mjini Dodoma, Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ambaye yuko katika Umoja wa Ukawa, Profesa Ibrahim Lipumba, amesema kuwa umoja wao huo, unaamini kuwa Rasimu ya Kanuni itakayotumika katika kuendesha vikao vya bunge hilo, kuwa ndio roho ya kuongoza mjadala wa rasimu ya katiba wanayoitunga.

Umoja huo, kwa mujibu wa viongozi wake wa muda, wajumbe wake watakuwa wakitetea Rasimu ya Katiba kama ilivyotayarishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba na kuwa tayari kuiboresha kwa kuzingatia maoni ya wananchi bila kile walichokiita kuichakachua kutokana na misimamo ya taasisi ama makundi yao.

Profesa Lipumba alisema kuwa kama kanuni hizo zisipokuwa nzuri basi hata hiyo Katiba nayo haiwezi kuwa nzuri, kwani haitoweza kukidhi matakwa ya wananchi.

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo, kuhusu umoja wao wa Utetezi wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), ambao utakuwa ukitetea Rasimu ya Katiba kama ilivyotayarishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba na pia kuwa tayari kuiboresha kwa kuzingatia maoni ya wananchi bila kile walichokiita kuchakachuliwa. Kushoto ni wajumbe wenzake Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia na Eng. Pamela Maassay. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni mjumbe wa bunge hilo, Profesa Abdallah Safari.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo, kuhusu umoja wao wa Utetezi wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), ambao utakuwa ukitetea Rasimu ya Katiba kama ilivyotayarishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo, kuhusu umoja wao wa Utetezi wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), ambao utakuwa ukitetea Rasimu ya Katiba kama ilivyotayarishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba. 
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari alipokuwa akijibu maswali katika mkutano huo.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Profesa Abdallah Safari (kulia), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari katika mkutano huo.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari katika mkutano huo.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari alipokuwa akijibu maswali katika mkutano huo.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Eng. Pamela Maassay, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari katika mkutano huo.

Bodi ya Filamu yasema uwasilishaji filamu waongezeka nchini

Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo (kulia) akijibu swali toka kwa  mtangazaji wa kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM, Bwana. Pancras Mayala (kushoto) wakati wa mahojiano na Katibu huyo jana jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Benedict Liwenga-MAELEZO)
Mtangazaji wa kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM, Bwana. Pancras Mayala (kushoto) akimuuliza swali Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo aliyekaa kulia, wakati alipokuwa akifanya nae mahojiano juu ya kazi zifanywazo na Bodi ya Filamu ikiwemo kufungia na kuruhusu filamu nchini.
Mtangazaji wa kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM, Bwana. Pancras Mayala (kushoto) akimuuliza swali Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo aliyekaa kulia, wakati alipokuwa akifanya nae mahojiano juu ya kazi zifanywazo na Bodi ya Filamu ikiwemo kufungia na kuruhusu filamu nchini.
Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo (kulia) akijibu swali toka kwa  mtangazaji wa kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM, Bwana. Pancras Mayala (kushoto) wakati wa mahojiano na Katibu huyo jana jijini Dar es Salaam.
Mjumbe toka Bodi ya Filamu, Bi. Beatrice Sumari akifuatilia kwa makini mahojiano kati Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania na mtangazaji wa kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM, Bwana. Pancras Mayala yaliyofanyika leo ofisi za Bodi ya Filamu jijini Dar es Salaam jana.
Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo (kulia) akieleza jambo wakati alipokutana na mtangazaji wa kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM, Bwana. Pancras Mayala (kushoto) leo katika ofisi za Bodi jijini Dar es Salaam.

Na Benedict Liwenga-Maelezo
BODI ya Filamu nchini imekiri ongezeko la uzingatiaji wa Sheria ya Filamu na kanuni zake unaofanywa na watengenezaji na wasambazji wa filamu wa ndani na nje ya nchi. 

Aidha imethibisha kuwa  uwasilishaji wa filamu kwenye Bodi umeongezeka kwa kiwango cha kuridhisha baada ya wengi wa wadau kuitikia wito wa kuwasilisha kazi zao ili ziweze kukaguliwa na kupewa madaraja stahiki.

Vile vile Bodi imefafanua kuwa filamu na muziki  iliyo katika video isiyofungiwa kwa kukosa maadili na zinazoendelea kurushwa ama kuonyeshwa bila kuzuiwa haimaaninishi ni halali isipokuwa zinapaswa kuwasilishwa Bodi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni kabla ya kwenda kwa walaji.

Hayo yamesemwa jana na Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo wakati alipokuwa akifanya mahojiano na Clouds Media Group ofisi kwake jijini Dar es Salaam.

Bi. Fissoo amesema kuwa Bodi ya Filamu ilianzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Filamu na Michezo ya Kuigiza namba 4 ya mwaka 1976 Sheria ambayo ilitanguliwa na Sheria ya Picha za Sinema ya mwaka 1930 jambo linalodhihirisha ukongwe wa tasnia ya filamu nchini. Bodi inafanya kazi zake kwa kujielekeza katika kusimamia Sheria hiyo na kanuni zake.

Akijibu swali toka kwa mtangazaji wa kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM, Bwana Pancras Mayala, lililotaka kujua filamu ngapi zilizofungiwa na Bodi ya Filamu na sababu za kufungiwa kwa filamu hizo, Bi. Fissoo amesema kuwa mpaka sasa Ofisi yake imepoke na kushughulikia jumla ya kazi zipatazo 1059 kutanzia 2011 hadi Januari 2014 ikiwa ni kwa maana ya majina.

“Mwaka 2011 mpaka sasa tumepokea na kushughulikia filamu 1059, ikiwa ni kwa maana ya majina, lakini ukienda kwa maana ya Part 1 na Part 2 maana yake ni jumla ya filamu 2118 ambapo kati ya hizo filamu 123 sawa na asilimia 5.8 zilielekezwa kufanyiwa marekebisho na filamu 7, sawa asilimia 0.33 hazikuruhusiwa kati ya mwaka 2011 hadi juni 2013, ambazo ni za ndani na za nje 2.4 hazikuruhusiwa. 

Aidha, kati ya Julai 2013 hadi 2014, jumla 570 zilipokelewa zikiwemo filamu 263 zilizokuwa zimeshaingia sokoni na kati ya hizo filamu 16 zilielekezwa kufanyiwa marekebisho. 

Tayari filamu zilizoelekezwa kufanyiwa marekesho, 14 zimekwisha wasilishwa na kupewa kibali na filamu mbili za MV Spice na Nimekubali Kuolewa hatujapokea marekebsho. Hakuna filamu iliyofungiwa kati ya julai 2013 hadi Januari 2014”, alisema Bi. Fissoo.

Aliwapongeza wadau wa filamu kwa kupunguza kwa kiasi kikubwa filamu zisizoendana na maadili na kusisitiza umuhimu wa kuzingatia ubora na viwango.

Kwa upande wake mtangazaji wa Clouds Media, Bwana Mayala alitaka kujua ni vigezo gani vinavyotumika katika kuzuia filamu zisiende kwa watumiaji ambao ni watazamaji, Bi. Fissoo alifafanua kuwa Bodi ya Filamu inazuia filamu kwa mujibu wa sheria na vipo vipengele mbalimbali vitumikavyo katika kufanya zoezi hilo, aidha alimpitisha mtangazaji huyo katika vifungu hivyo vya sheria na kanuni, vile vile alieleza kuwa kabla ya kufikia hatua hiyo, maneneo yote yanayoshauriwa kurekebishwa au kuondoshwa hupitiwa kwa pamoja kati ya Bodi na wenyekazi na kufikia muafaka. 

"Katika eneo hilo tumeendelea kupata ushirikiano mkubwa sana", alisema Bi. Fissoo.

Aidha, Bi. Fissoo amewaasa wadau mbalimbali wa filamu Tanzania kushirikiana kwa pamoja katika kutekeleza mambo yaliyoelekezwa kwa mujibu wa sheria, na kwa wasanii amewasisitizia kuwasilisha miswada ya kazi zao ili iweze kupitiwa na Bodi na baadae filamu iwezwe kutengenezwa. Alisisitiza kuwa ofisi za Bodi ziko wazi kwa wadau wote na wakati wowote wanapohitaji ufafanuzi wanakaribishwa kwa bodi kwa ajili ya kuwahudumia wananchi wote


Mwili wa marehemu Balozi Fulgence Kazaura waagwa leo katika Kanisa la Mt. Peter jijini Dar es Salaam

Jeneza lenye Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura likiwa ndani ya Kanisa la Mt. Peter, Osterbay jijini Dar es Salaam tayari kwa Ibada maalum ya kumuombea Marehemu huyo iliyofanyika mchana wa leo kanisani hapo.
Viongozi wa Kanisa hilo la Mt. Peter wakiwaongoza waomboleazaji kuaga Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura aliefariki Dunia juzi huko nchini India alikokwenda kwa ajili ya Matibabu.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamin Mkapa akiwaongoza waomboleazaji mbali mbali kutoa heshima za mwisho wakati wa kuaga Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura aliefariki Dunia juzi huko nchini India alikokwenda kwa ajili ya Matibabu. Ibada hii ya kuaga mwili wa Balozi Kazaura imefanyika mchana wa leo katika Kanisa la Mt. Peter, Osterbay jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura aliyefariki dunia juzi huko nchini India alikokwenda kwa ajili ya Matibabu. Ibada hii ya kuaga mwili wa Balozi Kazaura imefanyika mchana wa leo katika Kanisa la Mt. Peter, Osterbay jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Prof. Rwekaza Mkandala (mbele), Sir George Kahama, pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mzee Phillip Mangula, wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura aliyefariki dunia juzi huko nchini India alikokwenda kwa ajili ya Matibabu. Ibada hii ya kuaga mwili wa Balozi Kazaura imefanyika mchana wa leo katika Kanisa la Mt. Peter, Osterbay jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mh. Benjamin Mkapa akimfariji Mjane wa marehemu pamoja na watoto wakati wa Ibada maalum ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Balozi Fulgence Kazaura, iliyofanyika kwenye Kanisa la Mt. Peter, Osterbay jijini Dar es Salaam leo.
Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba akiifariji familia ya marehemu Balozi Fulgence Kazaura.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Mzee Phillip Mangula akiifariji familia ya marehemu Balozi Fulgence Kazaura leo.

FARMERS ASSOCIATIONS STRENGTHEN VOICE IN SAGCOT


*Initiative to generate US$1.2 billion revenue
*2 million people will be lifted out of poverty
*10,000 small-scale growers will be commercialised


From left to right, Jennifer Baarn, Deputy CEO SAGCOT Centre Ltd, Jacqueline Mkindi, Executive Director TAHA and Janet Bitegeko, Executive Director ACT.


BY OUR REPORTER
GROWERS associations have signed a Memorandum of Understanding (MoU) to strengthen farmers participation in the design and implementation of the Southern Agriculture Growth Corridor of Tanzania (SAGCOT).

The associations which have signed the MoU include; Agriculture
Council of Tanzania (ACT), Agricultural Non-State Actors Forum
(ANSAF), the SAGCOT Centre Ltd,   and Tanzania Horticulture
Association (TAHA).

The actors will jointly facilitate the engagement of civil society and
farmers in SAGCOT initiatives.  Their concerted efforts aim to
mobilize and monitor inclusive investments in agriculture and improve policy reforms that promote and encourage growth in the agriculture sector.

The first phase of implementation of the agreement is funded through a grant provided by BEST-AC. The MoU is one of the outcomes of a Non-State Actor consultation session, facilitated by UNDP, where non-state actors called for a more structured engagement in SAGCOT.

According to SAGCOT Centre Ltd, CEO Geoffrey Kirenga, this agreement symbolizes the partnership approach that is required to ensure that investments in the Corridor are inclusive, engage and benefit farmers.

The MoU is considered a landmark for the farmers lobby by Mrs Janet Bitegeko, Executive Director of ACT. "The coalition underpins what we have all along advocated for; working in partnership.

Through the Tanzania Agriculture Partnership program (TAP), ACT has long championed the multi-stakeholder partnership approach in agriculture. I can assure you that ACT is ready for action."

Mr. Audax Rukonge, Executive Director of ANSAF stated that the MoU aims at providing a platform to the smallholder farmers to raise their voices and marks the start of deeper involvement of smallholder farming communities in SAGCOT. 

"We look forward to contribute to the promised outcomes from the SAGCOT initiative"

Ms Jackie Mkindi, the CEO of TAHA, said that the most viable way to sustainably address the numerous challenges faced by farmers is through transformational partnerships. 

"This MoU will define our roles and responsibilities as partners in catalyzing actions and commitments to strengthen farmers' involvement in agriculture value chains as business partners."

SAGCOT which was launched in 2010 is a multi-stakeholder partnership that seeks to transform the agriculture sector of Tanzania by building inclusive agribusinesses in the country's southern region.

Its innovative model brings together various partners - including food companies, processors, service providers, and farmers' associations - to develop viable agricultural value chains and enhance the profitability of farmers, especially those which are small-scale.

SAGCOT's ambitious goals include bringing 350,000 hectares into
profitable production; transitioning 10,000 small-scale farmers into
commercial farming; creating 420,000 new employment opportunities; lifting 2 million people out of poverty; and generating $1.2 billion in annual farming revenue by 2030.

Uongozi wa Kilwa watoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu mchango wa rasilimali za Wilaya hiyo

Mkurugenzi Mtendaji  wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, Bw. Adoh Mapunda (katikati), akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam jana kuhusu namna wilaya hiyo, inavyoendelea kuboresha huduma za jamii kwa kutumia rasilimali mbalimbali zilizo katika wilaya hiyo. Kushoto ni diwani wa kata ya Kikole Mwl. Haji Mulike na kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya hiyo Bw. Ali Mohamed Mtopa.
Ramani ya jengo la Hospitali ya kisasa yenye hadhi ya Kimataifa litakayojengwa wilayani Kilwa kwa nguvu za Halmashauri na wadau wa maendeleo. (Picha zote na Aron Msigwa - MAELEZO)

Na Aron Msigwa – MAELEZO
Dar es Salaam

UONGOZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa umesema kuwa utahakikish rasilimali zote zinazopatikana katika wilaya hiyo ikiwa ni pamoja na gesi asilia zinatumika kuleta maendeleo na kuboresha maisha ya wananchi.

Kauli hiyo imetolewa jana jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji  wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Bw. Adoh Mapunda wakati akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu uboreshaji wa huduma za jamii kwa kutumia rasilimali mbalimbali zilizo katika wilaya hiyo.

Akiwa ameambatana na baadhi ya viongozi wa wilaya hiyo akiwemo mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya hiyo, watendaji na baadhi ya Madiwani  wanaohudhuria kikao kazi jijini Dar es salaam,  Bw. Mapunda amesema kuwa halmashauri hiyo imejipanga kupunguza utegemezi wa fedha toka serikali kuu kwa kupanua wigo wa mapato ya ndani kwa kubuni vyanzo vipya vya mapato.

Amevitaja vyanzo hivyo kuwa vyanzo hivyo vipya ni pamoja na ushuru wa zao la Ufuta ambalo sasa mapato yake yamefikia milioni 595, mauzo ya viwanja na ushuru wa Gesi asilia inayozalishwa katika kijiji cha Songosongo ambayo sasa inatoa asilimia 0.3 ikiwa ni ushuru wa tozo la huduma.

Akifafanua kuhusu mapato hayo Bw. Mapunda amesema kuwa katika zao la ufuta asilimia 20 ya pato hilo inarudishwa vijijini na halmashauri hiyo na kuongeza kuwa mapato ya ushuru wa huduma unaolipwa kwa halmashauri kutokana na shughuli za gesi za kampuni ya PAN AFRICAN ENERGY katika eneo la Songosongo huchangia 20% kwa ajili ya maendeleo ya eneo hilo.

“ Kuanzia mwezi Septemba 2012 Baraza la Madiwani lilipendekeza tuanze kupeleka asilimia 20 kwenye kijiji cha Songosongo kutokana na malipo ya kampuni ya PAN AFRICAN ENERGY kiasi cha shilingi milioni 811ambapo hadi sasa tumeshapeleka jumla ya shilingi milioni 139 na tunajiandaa kupeleka kiasi kingine kilichobaki cha shilingi 22” ameeleza Bw. Mapunda.
Akitoa ufafanuzi kuhusu uboreshaji wa huduma za jamii mkurugenzi huyo amesema kuwa wilaya ya kilwa inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ikiwemo ya Maji Safi, Umeme, Elimu, mkakati wa kukuza ajira, kuimarisha ulinzi na usalama kwa kujenga kituo cha polisi cha kisasa kitakachogharimu shilingi milioni 625 na uboreshaji wa huduma za afya.
Ameongeza kuwa katika kuboresha huduma za afya wilaya hiyo imeshatenga eneo la hekari 30 kwa ajili ujenzi wa hospitali ya kisasa yenye hadhi ya kimataifa itakayotoa huduma ya afya kwa wakazi wa wilaya hiyo.
“Mradi huu wa hospitali ya kisasa utaanza haraka iwezekanavyo ndani ya mwaka huu hii ikiwa ni mchango wa rasilimali za eneo letu pia kwa kushirikiana na kampuni inayochimba gesi, pia tunajiandaa kwa ujenzi wa ukumbi wa kisasa wa kimataifa utakaogharimu kiasi cha shilingi bilioni 3.8”
Aidha katika hatua nyingine Bw. Mapunda ameeleza kuwa halmashauri ya Kilwa inaendelea na mikakati ya kuimarisha miundombinu ya barabara ili kuimarisha usafiri wa ndani wa wilaya hiyo, kufanya juhudi ya ukamilishaji wa miundombinu ya ulinzi na usalama ili kuimarisha hali ya ulinzi na usalama wa miundombinu iliyopo.

Benki ya NMB yasogeza huduma karibu zaidi na wakazi, Barabara ya Mandela

 * Yatoa msaada wa vifaa vya Hospitali, vyenye thamani ya shilingi milioni kumi kwa ajili ya Hospitali ya Taifa ya 

Muhimbili na Amana



Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Meck Sadick akikata utepe kuashilia uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Mandela Road. Kwanza kushoto ni Meneja wa NMB kanda ya Dar es salaam, Bw. Salie Mlay na kwanza kushoto ni  Mkuu  wa kitengo cha Huduma kwa wateja wakubwa  NMB, Bw.Gerald Kamugisha wakishuhudia ufunguzi huu uliofanyika jana jijini Dar es salaam.

NMB yazindua tawi jipya barabara ya Mandela mkoani Dar es Salaam. Hili ni tawi la ishirini  na tatu kufunguliwa katika mkoa wa Dar es Salaaam, na hii inafanya NMB kuwa benki yenye matawi mengi zaidi Tanzania, ikiwa na matawi zaidi ya 150 yaliyosambaa nchi nzima.

Meneja wa NMB kanda ya Dar es salaam, Bw. Salie Mlay akimwelezea  Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (kwanza kushoto ,Bw. Meck Sadick huduma mbali mbali zitolewazo na tawi jipya la NMB mandela Road.

Tawi hili la NMB Mandela Road, linatoa huduma mbali mbali za kibenki ikiwemo akaunti za akiba, mikopo , huduma za fedha za kigeni, kukusanya mapato na kulipia kwa niaba  ya serikali na taasisi mbalimbali. Tawi hili litakua wazi kila  Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa mbili  na nusu asubuhi hadi saa kumi na nusu jioni ( 2:30 asubuhi - 10:30 jioni) na Jumamosi kuanzia saa mbili na nusu asubuhi hadi saa sita na nusu mchana (8:30 asubuhi- 6:30 jioni), Jumapili na siku za sikukuu hakutakuwa na huduma ndani ya tawi hili.

Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Meck Sadick (kwanza Kushoto akimkabidhi sehemu ya msaada wa vifaa vya hosipitali Mganga mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana ,Dr Meshack Shimwela .Mashuka ya Hospitali pamoja na Vitanda vya wodi ya akina mama ni miongoni mwa vifaa vilivyotolewa. Makabidhiano haya yamefanyika jana wakati wa uzinduzi wa tawi la NMB mandela Road Katikati ni Meneja wa NMB kanda ya Dar es Salaam, Bw. Salie Mlay.


Katika kusherehekea ufunguzi rasmi wa tawi hili, Benki ya NMB ilitoa msaada kwa jamii wa vifaa vya hospitali vyenye thamani ya shilingi milioni kumi ili kuunga mkono jitihada za serikali na wananchi katika kuboresha huduma katika sekta ya afya. Msaada huu unatolewa kwa hospitali ya Amana pamoja na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. 
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Meck Sadick (pili kulia kwenye viti), akiwa kwenye picha ya Pamoja na maafisa wa NMB tawi la Mandela Road.

Marekani kuleta umeme Afrika


Marekani inasema umeme utawafikia zaidi ya watu milioni 50
Wabunge nchini marekani wameidhinisha mpango wa kuleta umeme kwa zaidi ya watu millioni hamsini katika jangwa la Sahara barani Afrika na hivyo basi kutoa fursa kwa mradi huo wa serikali ya Obama kuanza kutekelezwa.
Mswada huo uliopitishwa na kamati ya maswala ya kigeni nchini humo unalenga kujenga megawati elfu ishirini barani Afrika ifikiapo mwaka 2020 na kuwafikia watu elfu hamsini ambao wanaishi bila umeme.
Mpango huo ulitangazwa na rais Obama wakati wa ziara yake barani afrika mnamo mwezi juni mwaka jana.
Mswada huo utahitajika kupitishwa na bunge la wawakilishi pamoja na lile la sineti lakini hatua hiyo ya kamati ya maswala ya kigeni ni dhihirisho tosha kwamba unuangwa mkono na pande zote za kisiasa.

Uharibifu wa chakula

Ni kiasi gani cha chakula unachokitupa ambacho pengine ungekila?
Basi Ripoti mpya kutoka benki ya dunia inasema kuwa robo ya chakula chote kinachokuzwa duniani hupotea ama kutupwa, na sasa inawataka raia kufikiri kwa makini kile kuhusu uharibifu huu wa chakula.
Lakini katika jangwa la Sahara chakula kingi hupotea wakati wa uzalishaji.Inasema kuwa katika maeneo kama vile Marekani na Uchina ,watumiaji wa chakula ndio wa kulaumiwa pakubwa kwa kupoteza chakula hicho.
Benki ya dunia inasema kuwa kati ya asilimia 25 na 35 ya chakula chote kinachokuzwa duniani hutupwa.
katika mataifa yanye utajiri wa viwanda ,lawama kubwa zaidi huwaendea watumiaji wa chakula hicho ambao hukiwacha chakula kuoza katika jokovu.
Raia wa marekani kazkazini ni miongoni mwa wale walio na lawama kubwa kwa kuwa asilimia 61 ya chakula chao huharibika wakati wa matumizi.
Mwandishi wa ripoti hiyo Jose Cuesta anasema kuwa kile kinachohitajika ni kubadili tamaduni.
Lakini katika jangwa la Sahara chakula kingi huharibika wakati wa uzalishaji .
Benki kuu duniani inasema kuwa kiwango cha chakula kinachotupwa kinaweza kutofautisha kati ya chakula bora na uhaba wa chakula katika mataifa mengi.
Imeonya kuwa iwapo mbinu za uzalishaji hazitaimarishwa na tabia za kula kubadilishwa ,dunia huenda ikakumbwa na uhaba wa chakula kwa idadi kuu ya watu inayozidi kuongezeka.

Benki ya Dunia 'yabana' msaada kwa UG

Wafadhili wakatiza misaada Uganda
Benki ya dunia imebana msaada wa dola milioni 90 kwa Uganda , siku chache tu baada ya Rais Yoweri Museveni kuishinisha sheriua mpya dhidi ya mapenzi ya jinsia moja.
Benki hiyo imesema kuwa inataka kufanya tathmini yake kuhakikisha kuwa malengo yake ya maendeleo nchini Uganda katika sekta ya afya, ambayo msaada huo ulikuwa unanuiwa, hayataathirika .
Wafadhili wengine tayari wameanza kusitisha misaada Uganda. Wahisani kama Denmark na Norway wamesema kuwa wataanza kufadhili mashirika moja kwa moja badala ya serikali.Sheria iliyoidhinishwa na Rais Yoweri Museveni, ilitiwa saini Jumatatu na inatoa adhabu kali kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.
Aslimia 20% ya bajeti ya Uganda inategemea michango ya wafadhili.
Mpaka sasa nchi tatu za Ulaya zimeamua kukata misaada yao kwa mamilioni ya dola.
Wizara ya fedha ya Uganda imesema inasubiri mawasiliano rasmi ya nchi husika, na iko tayari kukabiliana na athari za hatua hiyo.
Hadi kufikia sasa Waziri wa Fedha Wa Sweden, akiwa mjini Kampala, alisema waekezaji kutoka nchi yake watakuwa na wakati mgumu kuweka pesa zao nchini Uganda kwa sababu watakuwa na hofu kuwa sheria yo yote inaweza kupitishwa kuwadhulumu watu.
Jana serikali ya Uholanzi ilisema itazuia kwa muda misaada kwa Serikali ya Uganda. Norway na Denmark pia zimetangaza kupunguza au kusimamisha kwa muda misaada yake kwa Uganda.

They're engaged! Mila Kunis reveals HUGE diamond ring on her wedding finger as it's revealed she's set to wed Ashton Kutcher

By DAILY MAIL REPORTER

Mila Kunis and Ashton Kutcher are engaged, according to reports from both E! and People.
On Thursday, the Black Swan actress let the cat out of the bag as she flashed a huge diamond ring on her finger, appearing to confirm the reports she is set to marry boyfriend Ashton.
The bright flawless stone set on a simple band shimmered as the 30-year-old happily showed off her hand.
Wedding bells: Mila Kunis showed off her engagement ring on Thursday while shopping with her mother Elvira in Los Angeles
Edit
Edit
Edit
Wedding bells: Mila Kunis showed off her engagement ring on Thursday while shopping with her mother Elvira in Los Angeles
Mila made no attempt to hide the sparkler while shopping at The Grove outdoor mall with her mother Elvira.
The engagement was confirmed initially by E! News who quoted a source explaining the couple plan to marry.
Ring on it: Mila flashed a large diamond engagement ring at The Grove outdoor mall
Ring on it: Mila flashed a large diamond engagement ring at The Grove outdoor mall
Mila has been dating her 36-year-old That 70s Show co-star Ashton for two years.
The actress shared an Instagram photo of herself and Ashton sporting huge smiles on Wednesday with the caption reading, 'I love you @kutcher78'.
The pair frequently have been the subject of engagement reports and with Ashton's divorce to his first wife Demi Moore newly confirmed, it seems this time it could be for real.
About their relationship, a source previously told People: 'Ashton loves to travel and so does Mila, so they have seen a lot of new places and both are charged at the idea of doing it more, even living part-time abroad,'
'They seem to have a lot in common, and that helps keep a relationship strong.'
Mila and Ashton started dating following his split from 51-year-old ex-wife Demi.
Ashton and Demi married in September 2005 and she announced in 2011 that they were splitting up.
Nearly a year after Ashton filed for divorce it was finalised in November 2013.
Mila recently revealed that she and her beau like nothing better than a casual night out together.
Happy couple: Mila shared an Instagram photo on Wednesday of her and Ashton smiling
Happy couple: Mila shared an Instagram photo on Wednesday of her and Ashton smiling
'We have a thing called white T-shirt night and it's when you wear jeans and a white T-shirt and you go on a date,' she told Cosmopolitan magazine. 
'Nothing fancy, it's just something that you love to do. And whether that's bowling or dinner or going to a cheese shop and have some wine or walking around.'
The Black Swan earlier this month threw a surprise party for Ashton's 36th birthday.
Big ring: Mila's huge ring was easy to spot from a distance
Edit
Edit
Edit
Big ring: Mila's huge ring was easy to spot from a distance
Casual outing: Mile and her mother Elvira kept it simple for their trip to The Grove mall
Edit
Edit
Edit
Casual outing: Mile and her mother Elvira kept it simple for their trip to The Grove mall
Cute couple: Ashton and Mila embrace from the sidelines before the game between the Chicago Bears and the Pittsburgh Steelers in September last year
Cute couple: Ashton and Mila embrace from the sidelines before the game between the Chicago Bears and the Pittsburgh Steelers in September last year
Mila rented out one of Ashton's favourite restaurants La Poubelle in Hollywood for the birthday party and invited a bunch of his friends.
Wedding rumours surfaced in December when Mila wore a gold band on her engagement finger ahead of her brother's wedding.
Ashton and Mila looked ready to walk down the aisle when they attended the wedding of Mila's brother Michael in Florida.
Whole lotta history: Mila and Ashton, as they were in 2000 when they starred together in That '70s Show
Whole lotta history: Mila and Ashton, as they were in 2000 when they starred together in That '70s Show
They met on set: Ashton and Mila seen here cuddling as their That '70s Show characters Kelso and Jackie for a promotional picture
They met on set: Ashton and Mila seen here cuddling as their That '70s Show characters Kelso and Jackie for a promotional picture
A source at the time told People that Mila and Ashton 'have talked about getting married for quite a while.'
Mila's sci-fi flick Jupiter Ascending is in post-production after wrapping filming.
Ashton meanwhile has been filming season 11 of the hit CBS sitcom Two And A Half Men that also stars Jon Cryer.
The look of love: There's been no doubt that Ashton and Mila are head over heels in love with each other
The look of love: There's been no doubt that Ashton and Mila are head over heels in love with each other
Keeping it casual: Rather than pose on the red carpet, the down-to-earth pair enjoy more chilled out dates together
Keeping it casual: Rather than pose on the red carpet, the down-to-earth pair enjoy more chilled out dates together