TANGAZO


Monday, January 27, 2014

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid azindua Chumba cha Tiba ya Saratani Hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akisalimiana na mmoja wa viongozi wa Hospitali ya Aga Khan, wakati alipofika hospitalini hapo, Dar es Salaam leo, kwa ajili ya kuzindua Chumba chenye mitambo ya kutibu magonjwa ya Saratani cha hospitali hiyo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid (wa pili kulia), mtoto wa Kiongozi wa Dhehebu la Kiislamu la Ismailia duniani, Princess Zahra Aga Khan (wa pili kushoto), wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa chumba hicho, Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Marcel Escure na kulia ni Mwakilishi wa Ukuzaji wa Mtandao wa Aga Khan (AKDN), Amin Kurji.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kanda ya Afrika Mashariki Afya wa Taasisi ya hudama za Afya wa Aga Khan, Sulaiman Shahabuddin, akizungumza katika hafla hiyo.

Mtoto wa Kiongozi wa Dhehebu la Dini ya Kiislamu la Ismailia duniani, ambaye ni Mkuu wa Idara ya Huduma za Jamii wa taasisi ya Aga Khan Health Services Development Network (AKDN), Princess Zahra Aga Khan, akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo, uliofanywa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid jijini leo.

Princess Zahra Aga Khan, akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo, jijini leo.
Princess Zahra Aga Khan, akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo, jijini leo.
Princess Zahra Aga Khan, akizungumza katika hafla ya uzinduzi huo, jijini leo. Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid.

Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Marcel Escure, akizungumza katika uzinduzi huo. Kushoto ni Princess Zahra Aga Khan na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid.

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid (wa pili kulia), mtoto wa Kiongozi wa Dhehebu la Kiislamu la Ismailia duniani, Princess Zahra Aga Khan (kushoto), wakimsikiliza Balozi wa Ufaransa nchini, Marcel Escure, alipokuwa akizungumza katika hafla hiyo. Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa Ukuzaji wa Mtandao wa Aga Khan (AKDN), Amin Kurji.
Wageni mbalimbali waalikwa pamoja na baadhi ya wakurugenzi wa bodi ya hospitali hiyo, wakiwa katika hafla hiyo, wakifuatia hotuba mbalimbali zilizokuwa zikitolewa katika uzinduzi huo leo.
Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Marcel Escure, akizungumza katika uzinduzi huo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hospitali ya Aga Khan, Amin Habib, akizungumza na kisha kumkaribisha Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid kuzungumza na kisha kuzindua huduma ya matibabu ya maradhi hayo, hospitalini hapo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hospitali ya Aga Khan, Amin Habib, akizungumza katika hafla hiyo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akizungumza wakati wa uzinduzi huo jijini leo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akizungumza wakati wa uzinduzi huo jijini leo. Kushoto ni mtoto wa Kiongozi wa Dhehebu la Kiislamu la Ismailia duniani, Princess Zahra Aga Khan.

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akizungumza wakati wa uzinduzi huo jijini leo.

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akipongezwa na Balozi wa Ufaransa nchini, Marcel Escure kutokana na hotuba yake aliyoitoa katika hafla hiyo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akiteta jambo na mtoto wa Kiongozi wa Dhehebu la Kiislamu la Ismailia duniani, Princess Zahra Aga Khan (kushoto), wakati wa uzinduzi huo jijini leo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akiteta jambo na mtoto wa Kiongozi wa Dhehebu la Kiislamu la Ismailia duniani, Princess Zahra Aga Khan.
Hiki ndiyo chumba chenya mitambo ya kutolea tiba ya maradhi hayo, kilichozinduliwa leo na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid.
Mmoja wa wagonjwa wa maradhi hayo, akiwa kwenye chumba cha tiba hiyo kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid na mtoto wa Kiongozi wa Dhehebu la Kiislamu la Ismailia duniani, Princess Zahra Aga Khan, wakikata utepe kwa ajili ya kuzindua chumba cha matibabu ya saratani cha Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam leo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid (wa pili kulia) na mtoto wa Kiongozi wa Dhehebu la Kiislamu la Ismailia duniani, Princess Zahra Aga Khan (wa pili kushoto), wakimsikiliza mmoja wa wagonjwa wanaotibiwa maradhi hayo, Anwar Premji
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid na mtoto wa Kiongozi wa Dhehebu la Kiislamu la Ismailia duniani, Princess Zahra Aga Khan, wakimsikiliza mmoja wa wagonjwa walilzwa kwenye hospitali hiyo kwa ajili ya kupatiwa huduma hiyo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid (wa pili kulia) na mtoto wa Kiongozi wa Dhehebu la Kiislamu la Ismailia duniani, Princess Zahra Aga Khan (kushoto), wakimsikiliza mmoja wa wagonjwa wanaotibiwa maradhi hayo, Anwar Premji.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid (wa pili kulia) na mtoto wa Kiongozi wa Dhehebu la Kiislamu la Ismailia duniani, Princess Zahra Aga Khan (kushoto), wakimsikiliza mmoja wa wagonjwa wanaotibiwa maradhi hayo, Anwar Premji.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid na mtoto wa Kiongozi wa Dhehebu la Kiislamu la Ismailia duniani, Princess Zahra Aga Khan (kushoto), wakiagana na mmoja wa wagonjwa wanaotibiwa maradhi hayo, Anwar Premji.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid (wa pili kulia) na mtoto wa Kiongozi wa Dhehebu la Kiislamu la Ismailia duniani, Princess Zahra Aga Khan (kushoto), wakiagana na mmoja wa wagonjwa wanaotibiwa maradhi hayo, Anwar Premji.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi huo leo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid, akielezwa kuhusu michoro ya mitambo ya kutolea huduma hiyo na Mtaalamu, Mark Careaga. 

No comments:

Post a Comment