Wabunge nchini Tunisia wameanza kupigia kura rasimu ya katiba
mpya ambayo ilipaswa kupitishwa muda mrefu umepita.
Imechukua zaidi ya miaka miwili kwa wabunge kukubaliana kuhusu rasimu ya katiba.
Wengi wanatumai kuwa kupitishwa kwa katiba hiyo kutamaliza hali ya sintofahamu kati ya mirengo tofauti ya kisiasa.
Mauaji ya wanasiasa wawili wakubwa mwaka jana ilitumbukiza nchi hiyo katika mgogoro wa kisiasa
No comments:
Post a Comment